Simba SC yatoa taarifa rasmi, yataka kupewa ushindi kwa Yanga SC kususia kuingiza timu uwanjani

Mkuu kumbuka Simba ni club ,ina uongozi wake na haiendeshwi na mihemuko ya klabu nyingine yoyote Ile ....

wacha kila mtu afanye kulingana na falsafa zake na wanachoona wao ni sahihi.kumbuka Simba hawakugomea suala la mabadiliko ya muda ,sasa unataka hayo maswali yako wakaulize ili iwaje?

Wao walileta team uwanjan na hakukuwa na mechi so Wana haki kudai pointi zao tatu mkuu....

Yanga ndo muulize hayo ....na viongozi wenu.
 
Sasa kwa nini jana Simba haikupewa pointi 3 ndugu! Hivi kuna mwamuzi yeyote aliyekuwepo wakati mnauza sura pale uwanjani? Manala anawapatia sana mikia!
 
Barua kama ya posa... Hakuna hata kifungu cha sheria/kanuni kuipa nguvu hoja. Wapi Jery Muro,atukumbushe elimu ya manara
 
Uto waliona kichaka wakamkimbia mnyama hatari. Tusilete ujuaji usio na maana tumeshavumilia mengi iweje tushindwe kuvumilia dakika 120 tu mechi ipigwe? Naungana na simba kwa hili tangu jana jioni, simba imeonesha ukomavu na kutii maagizo ya mamlaka halali. Yanga wamesababisha mashabiki hasara na kuwapotezea muda ukizingatia wengi wametoka mbali na wametumia gharama kufika hapo.

Ushauri: mechi ichezwe ndani ya wiki hii kwasababu wengi walinunua kifurushi cha wiki cha azam ili kuona mechi hii tu! vinginevyo nitaamini azam ni muhusika wa uvurugaji huu ili wanufaike mara 2 kuuza vifurushi vyao kwasababu hakuna muda ambao wanauza vifurushi kuliko kipindi cha mechi ya simba vs uto
 
Yanga siyo timu ya mtu binafsi.
Wananchi wameamua, na imekuwa hivyo. Sasa nyinyi tengezeni sheria za kuiadhibu Yanga.
Kutii maagizo ni ukuwadi, kutii sheria ndiyo ukomavu.
 
Mkuu you really need to come to your sense. Yanga anamkimbiaje Simba? Hiyo game haitachezwa tena?! Au Yanga kahairisha game ili apate muda wa kuwaleta kina Messi na Mbappe wawafunge Simba?! Unakimbiaje mechi ambayo iwe iweje lazima ichezwe?
 
Mikia wanaomba point za mezan kwan waliingia uanjan na refa na wakasubil dk 15 hahaha mikia ni mikia tu
 
Kususa ni kusimama kiume?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…