Simba sherehe kubwa Makombe na Mataji sifuri!

Simba sherehe kubwa Makombe na Mataji sifuri!

Moja ya vituko vya mwaka 2023 ni kwa Simba kuandaa sherehe ya kukata na shoka wakiwa hawana kikombe wala taji la ndondo! Sasa sifahamu wanasherekea nini na mashabiki wao hata bila kuhoji wamo tu wanaruka ruka kama tumbili aliyeshiba mahindi ya wizi.

Kwenye sherehe kama hiyo Simba wanapaswa kuonyesha makombe na siyo maneno matupu!
Hawajeenda na jeneza lao
 
Sawa badala ya kusherekea mngekuwa mnaomboleza kwa kukosa makombe!

Futa zero Simba!
kuna mengineyo baada ya kukosa mataji sisi kama Simba inatupasa kuyatambua.kama vile kuwemo kwenye michuano mikubwa kama Super Leaugue,kufika robo cafcl,kupanda viwango vya ubora n,k.

Kiukweli kabisa Simba day hii imewafunika wapinzani wote wa Simba ndani na nje ya mipaka💪.wamechanganyikiwa wanapayuka hovyo sasa hivi😂😅
 
Kwa kucheza kigodoro kweli mmefunika! Klabu ya mpira ni kushinda makombe na mataji na siyo kukata viuno kigodoro!

Futa zero Simba?
 
Kwa kucheza kigodoro kweli mmefunika! Klabu ya mpira ni kushinda makombe na mataji na siyo kukata viuno kigodoro!

Futa zero Simba?
Utajipa maumivu ya nafsi bure wakati mashabiki wa Simba wanafuraha ya Simba day mbele ya Rais.

Relax kunywa maji upoze nafsi,Simba na Yanga ni timu zilikuepo na zitakuepo usihuzunike sana kuna maisha baada ya unyama wa Simba day.😝😋

Simba the next level.Nguvu moja💪
 
Ngofu moya makombe na mataji sifuri halafu mnachekelea!

You are not serious labda kama hiyo ni klabu ya kucheza singeli na kigodoro?

Piga vita zero Simba!
 
Tukichukua mataji maneno, tusipochukua maneno. Wakati tunachukua misimu minne mfululizo mlikuwa kuzimu!?
 
Sawa anzisheni kampeni ya kufuta zero kwa msaada wa Joketi badala kumsumbua Rais Samia kuona barua ya mwaliko!
Ajabu ni kwamba kwenye mkeka wa matokeo ya mtihani wa CAF, wenye ziro tuko juu, wenye mia mnashika mkia, sasa swali ni je, tutafute mia au ziro.
 
Mnafurahia nn mtani?
Mafanikio makubwaa...tumekua wa 8 kwny ranks zaAfrica
Tunaingia makundi moja kwa moja...
Tunacheza super cup...
Nyie mlopata ile beji sijui cheni mnaanzia wapi? Furaha yenu iko wapi mtani?
 
Tukichukua mataji maneno, tusipochukua maneno. Wakati tunachukua misimu minne mfululizo mlikuwa kuzimu!?
Mavi ya kale hayanuki!

Sasa unasherekea au unaomboleza kukosa makombe na mataji!

Piga vita zero Simba!
 
Ajabu ni kwamba kwenye mkeka wa matokeo ya mtihani wa CAF, wenye ziro tuko juu, wenye mia mnashika mkia, sasa swali ni je, tutafute mia au ziro.
Ebo ona mwehu huyu! Kwa hiyo Samia mtamuonyesha hiyo barua ya CAF!

Acha maneno matupu weka makombe na mataji!
 
Back
Top Bottom