- Thread starter
- #181
Makombe na mataji sifuri, mnasherekea au mnaomboleza? Mnatakiwa kupimwa mkojo nyie!Unateseka ukiwa wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Makombe na mataji sifuri, mnasherekea au mnaomboleza? Mnatakiwa kupimwa mkojo nyie!Unateseka ukiwa wapi?
Hawajeenda na jeneza laoMoja ya vituko vya mwaka 2023 ni kwa Simba kuandaa sherehe ya kukata na shoka wakiwa hawana kikombe wala taji la ndondo! Sasa sifahamu wanasherekea nini na mashabiki wao hata bila kuhoji wamo tu wanaruka ruka kama tumbili aliyeshiba mahindi ya wizi.
Kwenye sherehe kama hiyo Simba wanapaswa kuonyesha makombe na siyo maneno matupu!
Piga vita zero!Sawa. Tumekusikia
🤣🤣🙆 Litakosekanaje kama wanaomboleza!Hawajeenda na jeneza lao
Ona chizi hili! Klabu ya mpira inashindania makombe na mataji na siyo kukata viuno vya singeli!Kwani umeambiwa hii ni sherehe ya makombe na Mataji?
Muwe mnatumia vichwa kufikiria.
Mnafurahia nn mtani?Msituchagulie furaha taafadhali
Makombe tunayo mengi kuliko timu yyt hapa Tz...nyie si mmekomaa na ya ligi? Basi acheni ss tufurahiii
Nasikitika badala ya kuomboleza kwa kukosa makombe na mataji mnachekelea kama mazuzu!Unateseka ukiwa wap mkuu
Nasikia pia kigodoro kitakuwepo 😝😝😋Wanasherehekea kibegi🤣🤣🤣
kuna mengineyo baada ya kukosa mataji sisi kama Simba inatupasa kuyatambua.kama vile kuwemo kwenye michuano mikubwa kama Super Leaugue,kufika robo cafcl,kupanda viwango vya ubora n,k.Sawa badala ya kusherekea mngekuwa mnaomboleza kwa kukosa makombe!
Futa zero Simba!
Kwa kucheza kigodoro kweli mmefunika! Klabu ya mpira ni kushinda makombe na mataji na siyo kukata viuno kigodoro!kuna mengineyo baada ya kukosa mataji sisi kama Simba inatupasa kuyatambua.kama vile kuwemo kwenye michuano mikubwa kama Super Leaugue,kufika robo cafcl,kupanda viwango vya ubora n,k.
Kiukweli kabisa Simba day hii imewafunika wapinzani wote wa Simba ndani na nje ya mipaka💪.wamechanganyikiwa wanapayuka hovyo sasa hivi😂😅
Utajipa maumivu ya nafsi bure wakati mashabiki wa Simba wanafuraha ya Simba day mbele ya Rais.Kwa kucheza kigodoro kweli mmefunika! Klabu ya mpira ni kushinda makombe na mataji na siyo kukata viuno kigodoro!
Futa zero Simba?
Ngofu moya makombe na mataji sifuri halafu mnachekelea!Utajipa maumivu ya nafsi bure wakati mashabiki wa Simba wanafuraha ya Simba day mbele ya Rais.
Relax kunywa maji upoze nafsi,Simba na Yanga ni timu zilikuepo na zitakuepo usihuzunike sana kuna maisha baada ya unyama wa Simba day.😝😋
Simba the next level.Nguvu moja💪
Ajabu ni kwamba kwenye mkeka wa matokeo ya mtihani wa CAF, wenye ziro tuko juu, wenye mia mnashika mkia, sasa swali ni je, tutafute mia au ziro.Sawa anzisheni kampeni ya kufuta zero kwa msaada wa Joketi badala kumsumbua Rais Samia kuona barua ya mwaliko!
Mafanikio makubwaa...tumekua wa 8 kwny ranks zaAfricaMnafurahia nn mtani?
Mavi ya kale hayanuki!Tukichukua mataji maneno, tusipochukua maneno. Wakati tunachukua misimu minne mfululizo mlikuwa kuzimu!?
Ebo ona mwehu huyu! Kwa hiyo Samia mtamuonyesha hiyo barua ya CAF!Ajabu ni kwamba kwenye mkeka wa matokeo ya mtihani wa CAF, wenye ziro tuko juu, wenye mia mnashika mkia, sasa swali ni je, tutafute mia au ziro.