Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
Pole kwa Simba kuchapwa,pole pia kwa Man u kuchapwa na Barcelona,nadhani leo hautolala na inavyoonyesha wewe ni mwenyeji wa mkoa wa Mwanza ambao pia leo wamelikosa kombe la Taifa kwa kuchapwa na Mbeya.Pole sana najua leo umelia sana kama kawaida yako.
Haya ndiyo yalimo ndani. Msomali kaiuza timu yetu
Haya ndiyo yalimo ndani. Msomali kaiuza timu yetu
Simba "ya sasa" haiwezi kuifunga TIMU yoyote nje ya TANZANIA!
Mkuu, akina Lipumba wanaingiaje hapo?...
Waliwafunga simba Kihalali ila simba wakaenda CUF kuwawekea MadoA
...
Hata mezani mpira unachezwa....labda hujui tuTumezoea visingizio, kumbuka mpira unachezwa uwanjani na sio mezani.