Simba tuendelee kuwaombea Njaa Etoile du sahel wako nafasi ya tatu ligi yao

hujui kama UEFA kuna preliminary stage?Basi kama hujui mkuu wewe si mfuatiliaji wa soka!
Yaan unakurupuka bila hata kusoma niliandika nini. I was asking kuhusu huo utaratibu wa timu kuanzia raundi ya pili kwa kuzingatia mafanikio binafsi. UEFA hawana huo utaratibu. Utaratibu wao hupangwa kutokana na ubora wa ligi. Leicester akichukua Kombe EPL uliona akianzia PL stage?? Kwann africa Bingwa aanzie Hatua ya awali na mshindi wa pili aanzie hatua ya pili??

Hapo ndipo naposema huo ni utaratibu wa kijinga kuwahi kutokea Duniani.
 
Pambana uingie top 10 ya CAF.

Hakuna janja ya nyani hapa. Ninawapongeza CAF kwa utaratibu mzuri zaidi. Haiingii akilini ule kupitia mgongo wa jirani.

Jibebe, ninarutia tena jibebe bebeee eeeeh.

Kila shirikisho la mpira lina utaratibu wake iwe kwa ngazi ya Taifa au bara kwa ujumla. Tunachofanana wote ni matumizi ya sheria 17 pekee za kandanda. The rest jibebeeeeee
 
Wanapendelea!! Kwa nini Timu ya WANANCHI hata kwenye 25 haimo!! Kwani hawajui wananchi ndio mabingwa wa bongo!
 
Haupo sawa ndugu,pumzika kunywa maji ukae kwenye hewa safi. Uwezo wako wa kuchakata mambo na kulinganisha vitu unatia mashaka.
 
Usichanganye mzee UEFA na CAF ni vyombo viwili tofauti na vinajitegemea kimawazo. Kwenye soka ambacho kila shirikisho lisimamie ni sheria 17 za mpira. Mengine yanapangwa na shirikisho husika. Sasa wewe kuita ujinga utaratibu wa CAF kisa tu hauisaidii timu yako, haina maana yoyote. Na mwingine anaweza kusema utaratibu wa UEFA ni wa kijinga vilevile kwanini kila timu isibebwe na mafanikio yake ibebwe na ligi?

Utaratibu wa CAF upo wazi, Yanga Kama mshiriki anatakiwa kupambana kwelikweli avuke hatua ya awali na ajikusanyie points zake, sio kukaa kulialia anufaike kwa jasho la mwenzake, wakati kila mgeni akija wao kazi yao ni kushangilia wageni.
 
Kapange wa kwako utakaoibeba Yanga, hata hiyo ligi Bora imetengenezwa na Simba kupitia kimataifa
 
Yaani Yanga yetu haipo !inazidiwa na no34,bayo s ijui!
 
Mpaka sasa siioni Etoil du sahel wakishika namba mbili kwenye ligi yao kwa mechi tatu zilizosalia, Monastir iko moto sana msimu huu
 
Mpaka sasa siioni Etoil du sahel wakishika namba mbili kwenye ligi yao kwa mechi tatu zilizosalia, Monastir iko moto sana msimu huu

Msimamo ukoje na next three games anacheza na nani ? ?
 
Monastir wanahitaji point sita tu kujihakikishia top 2. Hivi vita inaweza kumkuta hata ES Tunis pia. Hii ni bonge la battle ya top 2
 
Yanga mbona hawapo kaka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…