Simba yaachana na Haji Manara, Ezekiel Kamwaga ateuliwa kukaimu nafasi ya Msemaji wa Simba

Acha kufuraisha Yani manara kakuza jina la simba like serious, Simba inaheshimika kwa soka lake na sio mtu individual
 
kamwaga naye atakuwa anapewa laki saba?
Atalipwa Tsh Milioni 4 kwa Mwezi kama Mshahara ambao Haji Manara alizikataa kwakuwa anajua angeukubali huo Mshahara Basi zile 'endorsments' zake zingine za ASAS Diary, Azam Products na GSM zingefikia Ukomo.

Nje ya huo Mshahara wa Tsh Milioni 4 ambazo Ezekiel Kamwaga atakuwa akilipwa pia atakuwa anapata Posho mbalimbali pamoja na 'privileges' zingine ambazo zitamfanya awe 'Comfortable' katika Kuitumikia Simba SC 'Kiuweledi' zaidi.
 
Japo Manara anamatatizo yake ila amejitahidi kuijenga brand ya Simba sema shida mo alitaka amtumie kwenye biashara zake kwa mgongo wa Simba sasa jamaa naye ni mjanja akaruka sasa akamtumia dada CEO kumpiga fitna ili yeye asionekane anahusika. Mo ni kanjanja anaitumia Simba na rasilimali zake kwa manufaa ya biashara na kampuni zake
 
Ila kbongo bongo yule mropokaji aliwapa hamasa sana mikia zile Fluke fluke zake ziliwafanya mikia waone wanawapiga kaizer asubuh tuu..[emoji16][emoji16]
 
Simba ndio ilikua inambeba na ndio iliyompa umaarufu sana.
Sijui ila nadhani umaarufu wake utashuka labda aendelee na mipasho insta la sivyo hali itakua tete kwa wanaompa madili.
Acha utoto mkuu Manara ni mtu maarufu tangia zamani. Hats kabla ya simba, amefanya kazi vituo vingi wa television. Na nakuhakikishia nyota take ndio kwanza itazidi kung'aa hulu msimbazi kukifubaa
 
Daah iyo incident umenikumbsha mkuu nimecheka sana
 
Uto bwana,tangu lini uka sympathize na Simba?
Mafans wa simba mnaoenda hamsha hamsha sasa manara iwawin ila kwakuwa kamgusa mfazili wenu, mmnnaansa kusagia kunguni
 
Niseme tu kwamba, Idara ya usemaji itayumba
Bora iyumbe kuliko kua na mtu ambae anayeiingiza taasisi nzima kwny conflicts kwa maslahi yake binafsi.

Al Alhy ni ma bingwa wa africa mara kibao ulishasikia msemaj wao ni nan..aya mambo ya kiswahili inabid tuyaache kama taasisi imeamua kusimamia professionalism inabid iwe ivo.
 
Simba ndio ilikua inambeba na ndio iliyompa umaarufu sana.
Sijui ila nadhani umaarufu wake utashuka labda aendelee na mipasho insta la sivyo hali itakua tete kwa wanaompa madili.
Huko insta followers wake wengi ni Simba. Wengi wata m unfollow na ndio umaarufu utazidi kushuka. Halafu zile kauli zake na waandishi wa habari sasa ndio watamsusa jumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…