Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Hii pisi ya Mudi itakuwa inapika maripoti ili kumpa favor Mudi.Kigwa yuko sahihi sana kama mwanasimba ujio wa huyo bidada kama CEO wa Simba kwa kweli ni katika hali ya Mo kujiimarisha sana katika Decision making
Subiri ligi ianze na njaa yenu pale jangwani itatamalaki.Mtani Zama Zimebadilika...Hii si Yanga Mliyoizoea na Kuzoeshwa.....[emoji16][emoji16]
Hahahaha mm kinachonishangaza ni maoni ya humuNamuheshimu sana Mo naiheshimu sana Body ya wakurugenzi wa klabu ya simba.
Nasikitika simba bado kuna Uswahili wa kutosha,kweli ukatuletee mtu asie na elimu ya management/utawala wala hata kuujua mpira.
Huu ni mtego mkubwa sana ndani ya Klabu, amewekwa kwa ajiliya bilion 20????
Tuendelee kutafakari.#
Wapi mzee ile ni Fix tu, Demu alikuwa anatafutiawa followers tu, mie nilivona tu lile tangazo tayari nikahisi kuna kitu mbeleKatika kufidia zile iphone mbili mlizomwibia huyo dada taifa.
Kabisa mkuu Huyo CEO yupo hapo kimkakati na hawezi kuwa na strong decision against Mo mana still ataendelee kuwepo kwenye Payroll ya MOHii pisi ya Mudi itakuwa inapika maripoti ili kumpa favor Mudi.
Mtu chake, Barbara ana Profile nzuri sana na ni experienced very smart and professional lakini je kitendo cha ku serve kwa muda mrefu ivo kwa Mo kitamfanya kweli awe na personal decisions ya kuisogeza Club mbele? Je huoni hatakuwa Remote controlled mana amekuwa nurtured na METL na Apart of being Director na PA wa Mo foundation huyu bidada yupo very close na Mo inafikirisha sana aisee na wanasimba hili sio la kulikalia kimya mana impact yake itakuwa mbaya sanaHahahaha mm kinachonishangaza ni maoni ya humu
Kipindi Senzo anateuliwa walisema ndio MTU sahihi kwa Simba mpya sababu mzoefu wa mpira
Leo kateuliwa huyu wanabadilika wanakuambia huyu barba ni MTU sahihi kwa Simba cz inahitaji kukua kubiashara
Sasa najiuliza uteuzi UPI sasa Simba wako sahihi Senzo MTU wa mpira au Barba MTU wa masoko na biashara ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ni nafasi ya utawala Wala sio ufundi, Kigwa alitakiwa awe mtu wa mwisho kuhoji hili. Kama Ligi tu imeshindwa kupata udhamini wa maana itakua kwa timu? Mo na GSM pamoja na mapungufu yao lakini ni muhimu Sana katika hatua za awali kuelekea mabadiliko ya kimfumo.Kigwa yuko sahihi sana kama mwanasimba ujio wa huyo bidada kama CEO wa Simba kwa kweli ni katika hali ya Mo kujiimarisha sana katika Decision making
Nafasi ya kiutawala ndio apewe mtu aliekaribu na Mtu mwenye 49 percentage ya total share?Hiyo ni nafasi ya utawala Wala sio ufundi, Kigwa alitakiwa awe mtu wa mwisho kuhoji hili. Kama Ligi tu imeshindwa kupata udhamini wa maana itakua kwa timu? Mo na GSM pamoja na mapungufu yao lakini ni muhimu Sana katika hatua za awali kuelekea mabadiliko ya kimfumo.
Hahahaha, means Senzo alikua kikwazo kwa baadhi ya mambo ,hivyo akatolewa ili aweke MTU ambaye ata tiii amri za TajiriMtu chake, Barbara ana Profile nzuri sana na ni experienced very smart and professional lakini je kitendo cha ku serve kwa muda mrefu ivo kwa Mo kitamfanya kweli awe na personal decisions ya kuisogeza Club mbele? Je huoni hatakuwa Remote controlled mana amekuwa nurtured na METL na Apart of being Director na PA wa Mo foundation huyu bidada yupo very close na Mo inafikirisha sana aisee na wanasimba hili sio la kulikalia kimya mana impact yake itakuwa mbaya sana
Endeleeni tu kugawana Vyeo apoNaona umekereka haswa. Nunua kamba upunguze maumivu.
Hahahaha 51% tunasubiri ushindi kaka. Haya hatuoni ,mkituambia tunawabishiaNafasi ya kiutawala ndio apewe mtu aliekaribu na Mtu mwenye 49 percentage ya total share?
Kitu cha sheeshaView attachment 1559833
Dah....Mo amewadharau sana![emoji1787][emoji1787]
Na huyo bibie ajiandae haswa kuwa under stress mana regardless kuwa cheo chake ni cha utawala ila wabongo watamlaumu just incase club ikivurunda mana Nomination yake ime draw attention haswa na imekuwa criticized sanaHahahaha, means Senzo alikua kikwazo kwa baadhi ya mambo ,hivyo akatolewa ili aweke MTU ambaye ata tiii amri za Tajiri
Hahahaha, uzuri wenye Nguvu 51% muhimu tunahitaji ushindi tu ,haya hatuoni mkituambia tunawaita majina yote
Sent using Jamii Forums mobile app
Kigwa yuko sahihi sana kama mwanasimba ujio wa huyo bidada kama CEO wa Simba kwa kweli ni katika hali ya Mo kujiimarisha sana katika Decision making
Unahama team kisa chaguzi za uongozi!, shabiki haami team hata siku moja, unaweza usikubaliane na yanayoendelea kwenye uongozi, ila huwez hama team kama ni shabiki wa kweliMimi nimehama simba kwa ajili ya ujinga wa huyu Mohamed mtu kwanza anaendesha Project za Familia leo ndio anakuwa most influencer katika Club hizo pesa anazodai anatoa ni kuwa nae anafanya matangazo kupitia simba, nilivo ona Mohamed amekuja na Tangazo kuwa Barbara kapoteza iPhones mbili Taifa siku ya Simba day kwanza nilihisi kuwa ni usanii wa kutafutiwa followers wengi kwenye social media mana ni Mo mwenyewe ndio ali announce na kumquote bidada sasa nilivo ona tu Mo kamtangaza nkajua tayari huyu anandaliwa postion kubwa sana Simba mana amekuwa assistance wa Mo na ana lead iyo foundation ya Mo, Kwa kweli simba waangalie sana huyu Mhindi ata wa drag to the grave akiona wako hoi atawatema, Mtu sio Majority shareholder ila ana influence kubwa ivi kwa nini, Mo adhibitiwe na Ajue simba sio mali yake mambo yakuleta ukoo wake ndani ya simba hatutaki ni soon mtamsikia na Fatema Dewji kapewa cheo apo simba haswa upande wa Marketing its a big shame.
Niliwahi kuandika hapo kabla kua huyu dada ndio chanzo cha Senzo kuondoka Simba. Watu walidhani sababu ni ujio wa Morrison. Mimi habari za Senzo kuondoka Simba nilikua nazo toka mwezi May.Hahahaha mm kinachonishangaza ni maoni ya humu
Kipindi Senzo anateuliwa walisema ndio MTU sahihi kwa Simba mpya sababu mzoefu wa mpira
Leo kateuliwa huyu wanabadilika wanakuambia huyu barba ni MTU sahihi kwa Simba cz inahitaji kukua kubiashara
Sasa najiuliza uteuzi UPI sasa Simba wako sahihi Senzo MTU wa mpira au Barba MTU wa masoko na biashara ?
Sent using Jamii Forums mobile app