Simba yamtangaza Barbara Gonzalez kuwa Mtendaji Mkuu wa Club

Kivip na amaefanya yep? mpaka uje hapa na hilo neno eti she is very professional bila wasifu wake tutaona naye ni muhamasishaji tu kama Manara
Kijana kunywa maji moyo utulie, punguza makasiriko
 
Pole
 
Reactions: Tui
Seems anatick boxes nyingi za ...beberu, nat that I'm following that much in this. vipepeo fanyeni kazi yenu mtagundua kitu hapa/
 
She is very proffesional ...kongole kwa Simba, vyura endeleeni kubwabwaja bwawani
Ni nani huyu? Katokea wapi? Angalau Senzo tulikua tunajua back ground yake kuhusiana na utaalam wake wa kuendesha vilabu vya soka Afrika. Natamani viongozi wa Simba wangetulia na kufanya kazi bila mihemuko ya kutaka kulipa kisasi
 
Kuna mwanzo katika kila Jambo, afterall we are talking about simba na sio Barcelona au Man City.
 
Umenena mkuu.
>Simba siyo benki iwe kwamba kila mteja atapewa mkopo.
>Wala Simba siyo chama siasa kwamba ukifika wakati wa uchaguzi wanachama wake wagombee udiwani.

Simba ni klabu ya burudani, kama kuna mtu mmoja anapiga pesa baada kuwekeza pesa zake na mafanikio ya uwanjani yanaonekana hiyo inatosha.
 
MO ashaanza kutuona sisi wapuuzi enh... anataka ajaze wahindi wenzie kilabuni?
Kwani wapo wangapi?
Au ni Utopolo in disguise. Kule hata wasimamia kambi ni wasomali na waarabu koko.
 
Ni nani huyu? Katokea wapi? Angalau Senzo tulikua tunajua back ground yake kuhusiana na utaalam wake wa kuendesha vilabu vya soka Afrika. Natamani viongozi wa Simba wangetulia na kufanya kazi bila mihemuko ya kutaka kulipa kisasi
Ungekuwa unafuatilia kuhusu Simba ungejua Barbara Gonzalez amekuwa mjumbe wa bodi kwa miaka 2 sasa. Hajaibuka kama uyoga.
 
Kwa hiyo wewe hivyo vyuo ndio vimekuchanganya paka kudharau waTZ kwamba wanauelewa mdogo?
 
Umesomeka sana mkuu.

Wengi wanafikilia Gonzalez walau aweze kupiga dana dana wakati sio duties na responsibilities zake za kupiga dana dana na kupata matokeo uwanjani

Kudos
 
Kumekucha kumekucha huko naona Hamis na Mudi wanabishana huko.Mudi nae kaamua awe roporopo kama msemaji wake Manara kwani angekaa kimya angepungukiwa nini,alafu baadaye kupitia msemaji wao au viongozi wengine wangelifafanua hili na hoja za Hamis Kigwangalla naona anazidi kutupa faida wapinzani.

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Zamu yetu wana wa Jangwani,picha lishaanza Sterling anaelekea kususa kama alivyo susa kipindi kile baada ya kupigwa na Mtibwa fainali ya mapinduzi cup.Ndugu zetu wakalialia na kumbembeleza akarudi.

Wasipokuwa makini ile movie yao ya "SISI CLUB KUBWA AFRIKA" naliona kama lina elekea mwisho,kwani sterling mwenyewe anaelekea kususa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…