Simba yamtangaza Barbara Gonzalez kuwa Mtendaji Mkuu wa Club

Chochea moto chochea
 
Sawa sawa Mkuu nimekupata ,basi Mo na Friends of Simba ( bodi ya wakurugenzi ) wanafanya vile watakavyo muhimu wenye timu yao 51% wao wanataka ushindi tu

Hahahaha Tanzania bana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa structure ya Simba kuna nafasi ya CEO na Technical Director, nashangaa watu kuona huyo dada hafai kuwa CEO! Huyo dada angechaguliwa kuwa Technical Director malalamiko yangekuwa sahihi! Watanzania wengi hawajui majukumu ya CEO. Mambo ya Corporate management ni professional na Simba inaendeshwa ki corporate siku hizi. Watu tuna maneno sana dah!
 
Kuhusu uwekezaji mnamuonea bure MO. Hivi nani anaweza kuweka pesa zake kununua kampuni bila upembuzi yakinifu kufanyika. Simba hata Audit report ilikuwa haina, lazima kila kitu kiwe clear ikiwemo wadeni, wadaiwa, mali za club na uhalali wake zihakikishwe. Si mambo marahisi kwa club iliyoanzishwa toka mwaka 1936 ikiendeshwa un professional. Tutoe nafasi hiyo kazi ikamilike na tayari muwekezaji kasema ipo final stage. Wana Simba tusiruhusu kuvurugwa kipindi hiki.
 
Kitu Mo anaenda kuwafanyia Simba hawatasahau, muda utayaweka yote hadharani
 
Mzee unahamaje club aisee. Kweli?!
Yaani sawa mi siku nitangaze eti nimehama Arsenal. Unless wewe sio shabiki wa mpira kivile. Maana kuna wale walikua Madrid coz ya Ronaldo. Kaenda juve na wao wamehamia huko.
Sipati picha kusikia mtu mashabiki kahama club. How?!!
Anyhow, uhuru ndio cha muhimu.
 
Demu wake mo nini

Swaga za kitaa hizo. Wakati wote ni kuwaza kudako. Simba ni another level bwana. Ni club pekee ukanda huu wa Afrika Mashariki yenye CEO mwanamke msomi tena mrembo. Sisi Simba TUNA JAMBO LETU.
 
Ebu tafuta majukumu ya CEO kwanza.
Au na wewe una akili kama za Yanga .
Wanaodhani CEO ni mchezaji mpaka wakaenda kumsajili senzo?
Sent from my SM-G928F using JamiiForums mobile app
 
Ukipewa wewe uindeshe kiproffesional utaweza kuwalipa Wachezaji japo mshahara wa mwezi??? Au hata kuwalisha kwa siki mojaa tuu... Achaa kuleta siasaa kwenye mambo yanayoitaji fedha mkuu ndo yale ya kigwanwalaa kupigaa kelele tu..
 
KAKURUPUKA huyo Mdosi

Mo bwana.
Au ndo kukaa na waswahili wakina Manara wamemuambukiza?

Bilionea gani ana majibu kama hayo?
Kingwangwala kauliza kama shabiki.

Sasa hoja za mikopo zinatoka wapi?
 
Simba mmeolewa.. Pigeni kimya.
 
Sisi washabiki Wa MAN U tunajielewa hatujawahi kusema Ed Woodward hajui mpira Bali husema amepewa majukumu ya kimpira mtu asiye Wa mpira! Na uende ukatuombe radhi kupitia Uzi wetu![emoji16][emoji16]
 
Sisi washabiki Wa MAN U tunajielewa hatujawahi kusema Ed Woodward hajui mpira Bali husema amepewa majukumu ya kimpira mtu asiye Wa mpira! Na uende ukatuombe radhi kupitia Uzi wetu![emoji16][emoji16]

Sasa Kwanini Baadhi ya Watu wanasema Barbara hajui maswala ya kimpira wakati CEO hahusiani na majukumu ya mpira?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…