Simba yamtimua kocha Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho)

Simba yamtimua kocha Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho)

Azam kama wana akili ndio muda wa kumchukua huyu kocha, kwanza ana uzoefu na soka la bongo, pili azam wana wachezaji wazuri kuliko simba lakini pia kocha anawajua makolo nje ndani kwa hiyo wakikutana ni mwendo wa kuwapasua tu.

Kwa ule mpira objective , Azam watashuka daraja.
 
Je; kweli Robertinho amepatiwa wachezaji wenye Quality ya kutosha?
Je, baada ya Simba kufungwa na Yanga, /simba watamfukuza Kocha wao anayelipwa mamilioni kwa Mwezi na kuishi jumba la kifahari Masaki?

  • -Miquisson ana-Struggle for fitness
  • -Kramo ana injury ya muda mrefu
  • -Onana anakosa confidence na Concentration ya mchezo.
  • -Moses Phiri ana matatizo yake na baadhi ya viongozi.
  • -Duchu na Kazi hatujui wako wapi.
  • Saido, Zimbwe na Chama viwango vyao vimeshuka baada ya
  • kutumika kwa muda mrefu.
  • Je Robertinho ana hao watu wa kufanya kazi?
  • lle midfield ya Yanga ina kila kitu &
  • Aucho ni Controller
  • Mudadhir ni defender
  • Aziz Ki ni creator kiwango cha FIFA.
  • Pacome ni holding Midfielder.
  • Maxi Nzengeli eye anau-speed-up mchezo.
Umemeliza yakhe
 
Kufungwa kwa Yanga na ihefu ndio kulimnusuru utege na hata makolo wenyewe wakaanza kujitapa huku wakisahau timu lao ni bovu ni tff na bi tatu malogo tu msaada kwao,makolo timu lenu ni bovu yan pale hamna hata mchezaji m1 anaeanza kwenye first 11 ya Yanga View attachment 2806763

Simba inasajili kwa mihemuko na sio ubora. Ngoja Yanga iwike kimataifa ndio watampata akili.
 
Ubora au sio ubora ni mpaka athibitishe kwa matokeo yake, mbinu zake na aina ya mchezo wake.

Zidane hakuwa kocha hapo kabla ila akaonesha ubora wake.
Kwani Matola ndio mara ya kwanza kupewa timu mpaka usijue ubora wake?
 
Shida ya mashabiki wa yanga ni wanafiki, na pia ni vigeu geu wakiona simba wameshinda wapo na jezi ya simva ng'we ukiona yanga wamefubga ng'wee halafu wengi ni wachawi
Huu uandishi unaonyesha tu bado una wenge la kichapo akilini mwako. Kuwa mtulivu angalau wiki tatu utakaa sawa tu
 
GSM ni mhuni tu wa kariakoo huwezi hata kidogo kumuweka kundi moja na Mo Dewji tajiri ambaye dunia nzima inamjua.

GSM anatajirikia magumashi ya bandarini na kiama chake kimeshafika, DP World na ufanisi wake ndio mwisho wa uanaharamu wote anaoufanya GSM kwa kuingiza madawa ya kulevya na ukwepaji mkubwa wa kodi.

Simba kufungwa na Yanga 5-1 ni kutetereka tu lakini kila kitu kinarudi kwenye mstari ulionyooka ndani ya muda mfupi ujao.
Mbumbumbu
 
Japokua mm ni yanga lialia...ila nimesikitishwa sana na uamzi huo(kumfukuza robatinho),sijaona sababu yamaana iliyowafanya wamtimue unless nikama mbuzi wakafara tu au wanatafuta pakudondoshea jumba bovu...hata kama yanga nibora kwasasa ,ila haimaanishi kua simba nimbovu kupindukia tatizo mpira wabongo ..kuna ligi mbili
1.ligi ya simba na yanga(watani)
2.ligi kuu.
.....ukishinda ligi kuu ukafungwa ligi ya simba na yanga unaonekana haufai kumbe unakua umeuingia mfumo tu wa mpinzani...simba kacheza navilabu vikubwa kama ahly,wydadi na kafanya vizuri tu kitakwimu nawalisifiwa...kawafikisha MAKUNDI CCF,bado kafungwa mechi moja tu namtani kati ya saba.....namengineyobmengi mazuri ya robatinho..ngoja aje kocha mwingine mpigike hadi maji muite mma..

Robertinyo sio kocha yule Bora aende tu.
 
Je; kweli Robertinho amepatiwa wachezaji wenye Quality ya kutosha?
Je, baada ya Simba kufungwa na Yanga, /simba watamfukuza Kocha wao anayelipwa mamilioni kwa Mwezi na kuishi jumba la kifahari Masaki?

  • -Miquisson ana-Struggle for fitness
  • -Kramo ana injury ya muda mrefu
  • -Onana anakosa confidence na Concentration ya mchezo.
  • -Moses Phiri ana matatizo yake na baadhi ya viongozi.
  • -Duchu na Kazi hatujui wako wapi.
  • Saido, Zimbwe na Chama viwango vyao vimeshuka baada ya
  • kutumika kwa muda mrefu.
  • Je Robertinho ana hao watu wa kufanya kazi?
  • lle midfield ya Yanga ina kila kitu &
  • Aucho ni Controller
  • Mudadhir ni defender
  • Aziz Ki ni creator kiwango cha FIFA.
  • Pacome ni holding Midfielder.
  • Maxi Nzengeli eye anau-speed-up mchezo.
Za Ndani kabisa , kuna mchezaji mmoja ni Kiungo mchezeshaji anakiwango bora ila anapiga puli hivyo hana nguvu uwanjani.
😁😁😁😁mwamba wa Lusaka
 
Wamesahau kocha huyo huyo ndiye waliyetoka kumshangilia kwa kuchuana vikali na giant wa Africa, bingwa wa Africa ( Al Ahly) na kutoshana nguvu.

Kocha hafai yule. Aende zake. Shida Simba inaongozwa na vilaza.
 
Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho).

Vilevile tumefikia makubaliano ya kusitisha mkataba wa kocha wa viungo Corneille Hategekimana.

Uongozi wa Klabu ya Simba unawashukuru Makocha hawa kwa mchango wao ndani ya klabu yetu na inawatakia kila la heri katika majukumu yao mapya.

Katika kipindi cha mpito kikosi chetu kitakuwa chini ya Kocha Daniel Cadena akisaidiwa na Seleman Matola.

Tayari mchakato wa kutafuta makocha wapya umeanza na unatarajiwa kukamilika hivi punde.

Wamuombe msamaha Mgunda kwa kumuharibia wakati wake, bora mngemuacha na Coastal yake kuliko kumfanya kama karai la zege. Simba wakifanya mchezo, mechi zao zinazokuja watasulubiwa na kuwatoa kabisa kwenye mashindano yoyote wanayoshiriki.
Kocha siyo tatizo, tatizo jinsi timu inavyoendeshwa.
 
Shida ya Simba ni Viongozi wasio na Vision. Kuna kipindi walikuwa na kocha wa makipa wa kuazima, alipodakwa na madawa wakamkana. Ndipo wakasajiri kocha wa makipa mwingine. Kuna shida kubwa Simba.
Na wewe ukaamini ule msala wa unga ni wa yule kocha wa makipa peke yake viongozi hawahusiki?
 
Back
Top Bottom