Simba yamtimua kocha Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho)

Dj naomba uniletee makolo wakisindikizwa na kibao cha jenifer mgeni_naliaa polee
 
Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho).

Vilevile tumefikia makubaliano ya kusitisha mkataba wa kocha wa viungo Corneille Hategekimana.

Uongozi wa Klabu ya Simba unawashukuru Makocha hawa kwa mchango wao ndani ya klabu yetu na inawatakia kila la heri katika majukumu yao mapya.

Katika kipindi cha mpito kikosi chetu kitakuwa chini ya Kocha Daniel Cadena akisaidiwa na Seleman Matola.

Tayari mchakato wa kutafuta makocha wapya umeanza na unatarajiwa kukamilika hivi punde.

Hizi timu zinaendeshwa na waswahili unategemea nini

Mpira wa Simba na Yanga ni wa kiswahili swahili tu 😇
 
Mb
yaan kocha amefungwa mechi 1 TU katika ligi toka aje nchini lakn anatimuliwa bila hata haya

Kocha wa yanga NASREDIN NAB aliomba siku 90 za kurekebisha mapungufu ya kikos chake akavumiliwa lakn sisi kocha hajapewa hata nafas hyo

Wachezaji wetu wengi n mizigo kutokana na umri Kama kapombe na shabalala bocco saidoo na chama

Kuna tetes Kuna kiongoz alofosi MANULA aanze kwenye Derby bila kujua fitness ya mchezaji lakn lawama anapewa kocha

Hii timua timua ya makocha kila mwaka haitatufikisha popote kwan ngumu kwa kocha kuimplement falsafa zake kwa MDA mchache hivyo

Tatizo la Simba siyo kocha n Zaid ya kocha had uongoz unahusika
Mbona hata coaches wanajua hilo kuwa TZ unaenda kuchukua fedha baada ya kuvunjiwa mkataba unaendelea na mishe zako. Fresh tu.
 
yaan kocha amefungwa mechi 1 TU katika ligi toka aje nchini lakn anatimuliwa bila hata haya

Kocha wa yanga NASREDIN NAB aliomba siku 90 za kurekebisha mapungufu ya kikos chake akavumiliwa lakn sisi kocha hajapewa hata nafas hyo

Wachezaji wetu wengi n mizigo kutokana na umri Kama kapombe na shabalala bocco saidoo na chama

Kuna tetes Kuna kiongoz alofosi MANULA aanze kwenye Derby bila kujua fitness ya mchezaji lakn lawama anapewa kocha

Hii timua timua ya makocha kila mwaka haitatufikisha popote kwan ngumu kwa kocha kuimplement falsafa zake kwa MDA mchache hivyo

Tatizo la Simba siyo kocha n Zaid ya kocha had uongoz unahusika
Kiongozi anapanga nani aanze kucheza na sio kocha 😇😇😇

Kazi mnayo,tuendelee kuangalia EPL tu
 
yaan kocha amefungwa mechi 1 TU katika ligi toka aje nchini lakn anatimuliwa bila hata haya

Kocha wa yanga NASREDIN NAB aliomba siku 90 za kurekebisha mapungufu ya kikos chake akavumiliwa lakn sisi kocha hajapewa hata nafas hyo

Wachezaji wetu wengi n mizigo kutokana na umri Kama kapombe na shabalala bocco saidoo na chama

Kuna tetes Kuna kiongoz alofosi MANULA aanze kwenye Derby bila kujua fitness ya mchezaji lakn lawama anapewa kocha

Hii timua timua ya makocha kila mwaka haitatufikisha popote kwan ngumu kwa kocha kuimplement falsafa zake kwa MDA mchache hivyo

Tatizo la Simba siyo kocha n Zaid ya kocha had uongoz unahusika
Waswahili wa msimbazi sio wavumilivu
 
Jamaa ni kocha mzuri, sema tu presha ilimzidi akaachana na falsafa yake. Azam kocha huyo kazi kwenu. Uzuri mna mawinga wazuri wa kutosha na wachezaji wenye Kasi, achana na mifaza ya Simba ile.
 
Back
Top Bottom