Gentlemen_
JF-Expert Member
- Nov 24, 2019
- 4,431
- 13,876
Mtoa Mada acha Unafki.
Kocha hana mbinu yule.
Substitution zake za kijinga jinga.
Anatuumiza
Kocha hana mbinu yule.
Substitution zake za kijinga jinga.
Anatuumiza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmojawapo wewe,mlifurahia kurudi kwa mzigo LuisNimegundua mashabiki wa Simba kweli ni mbumbumbu.
Yaani Kishingo aliyefeli ndiye awe lulu kwa Simba
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Hizi timu zinaendeshwa na waswahili unategemea niniKlabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho).
Vilevile tumefikia makubaliano ya kusitisha mkataba wa kocha wa viungo Corneille Hategekimana.
Uongozi wa Klabu ya Simba unawashukuru Makocha hawa kwa mchango wao ndani ya klabu yetu na inawatakia kila la heri katika majukumu yao mapya.
Katika kipindi cha mpito kikosi chetu kitakuwa chini ya Kocha Daniel Cadena akisaidiwa na Seleman Matola.
Tayari mchakato wa kutafuta makocha wapya umeanza na unatarajiwa kukamilika hivi punde.
Yanga tulishatoka huko kwenye usanii na uswahili,ndio maana hujaona Hersi akiteua baraza la Wazee la kumshauri.Hizi timu zinaendeshwa na waswahili unategemea nini
Mpira wa Simba na Yanga ni wa kiswahili swahili tu [emoji56]
Mbona hata coaches wanajua hilo kuwa TZ unaenda kuchukua fedha baada ya kuvunjiwa mkataba unaendelea na mishe zako. Fresh tu.yaan kocha amefungwa mechi 1 TU katika ligi toka aje nchini lakn anatimuliwa bila hata haya
Kocha wa yanga NASREDIN NAB aliomba siku 90 za kurekebisha mapungufu ya kikos chake akavumiliwa lakn sisi kocha hajapewa hata nafas hyo
Wachezaji wetu wengi n mizigo kutokana na umri Kama kapombe na shabalala bocco saidoo na chama
Kuna tetes Kuna kiongoz alofosi MANULA aanze kwenye Derby bila kujua fitness ya mchezaji lakn lawama anapewa kocha
Hii timua timua ya makocha kila mwaka haitatufikisha popote kwan ngumu kwa kocha kuimplement falsafa zake kwa MDA mchache hivyo
Tatizo la Simba siyo kocha n Zaid ya kocha had uongoz unahusika
😄😀😄Timu mpk ina baraza la wazee?imekua chama cha siasa hichoYanga tulishatoka huko kwenye usanii na uswahili,ndio maana hujaona Hersi akiteua baraza la Wazee la kumshauri.
Badili jina lako kwanza ili comment yako iwe valid.Mtoa Mada acha Unafki.
Kocha hana mbinu yule.
Substitution zake za kijinga jinga.
Anatuumiza
Kiongozi anapanga nani aanze kucheza na sio kocha 😇😇😇yaan kocha amefungwa mechi 1 TU katika ligi toka aje nchini lakn anatimuliwa bila hata haya
Kocha wa yanga NASREDIN NAB aliomba siku 90 za kurekebisha mapungufu ya kikos chake akavumiliwa lakn sisi kocha hajapewa hata nafas hyo
Wachezaji wetu wengi n mizigo kutokana na umri Kama kapombe na shabalala bocco saidoo na chama
Kuna tetes Kuna kiongoz alofosi MANULA aanze kwenye Derby bila kujua fitness ya mchezaji lakn lawama anapewa kocha
Hii timua timua ya makocha kila mwaka haitatufikisha popote kwan ngumu kwa kocha kuimplement falsafa zake kwa MDA mchache hivyo
Tatizo la Simba siyo kocha n Zaid ya kocha had uongoz unahusika
Waswahili wa msimbazi sio wavumilivuyaan kocha amefungwa mechi 1 TU katika ligi toka aje nchini lakn anatimuliwa bila hata haya
Kocha wa yanga NASREDIN NAB aliomba siku 90 za kurekebisha mapungufu ya kikos chake akavumiliwa lakn sisi kocha hajapewa hata nafas hyo
Wachezaji wetu wengi n mizigo kutokana na umri Kama kapombe na shabalala bocco saidoo na chama
Kuna tetes Kuna kiongoz alofosi MANULA aanze kwenye Derby bila kujua fitness ya mchezaji lakn lawama anapewa kocha
Hii timua timua ya makocha kila mwaka haitatufikisha popote kwan ngumu kwa kocha kuimplement falsafa zake kwa MDA mchache hivyo
Tatizo la Simba siyo kocha n Zaid ya kocha had uongoz unahusika
sasa hizo sub ana cheza kocha au hamna wachezaj wazur wakuwafanyia sub?Mtoa Mada acha Unafki.
Kocha hana mbinu yule.
Substitution zake za kijinga jinga.
Anatuumiza
Madrid walifungwa 5-1 na Barcelona 2018 sikusikia kocha kufukuzwa ndani ya siku 3!Tano nyingi wewe watu wanawekeza bela sio karanga
Kazaliwa 96 ana miaka 27Hivi Zimbwe ana miaka mingapi? Mbona anaonekana dogo halafu kila siku naona watu wanasema umri umemtupa mkono?
Jamaa ni kocha mzuri, sema tu presha ilimzidi akaachana na falsafa yake. Azam kocha huyo kazi kwenu. Uzuri mna mawinga wazuri wa kutosha na wachezaji wenye Kasi, achana na mifaza ya Simba ile.yaan kocha amefungwa mechi 1 TU katika ligi toka aje nchini lakn anatimuliwa bila hata haya