KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Wasiwaache Baleke, Chama, Manula na Kapombe....wamechukua mzigo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba ni mbovu.Kocha cjawahi kumpenda, yaan mbwa yule na visa vyake vya ajabu kwa phiri ndo kabisaaa,
Aondoke leo leo kwenda kwao huko.
Kocha mbovu zaidi.
Ndio tumeshammwaga sasa..yaan kocha amefungwa mechi 1 TU katika ligi toka aje nchini lakn anatimuliwa bila hata haya
Kocha wa yanga NASREDIN NAB aliomba siku 90 za kurekebisha mapungufu ya kikos chake akavumiliwa lakn sisi kocha hajapewa hata nafas hyo
Wachezaji wetu wengi n mizigo kutokana na umri Kama kapombe na shabalala bocco saidoo na chama
Kuna tetes Kuna kiongoz alofosi MANULA aanze kwenye Derby bila kujua fitness ya mchezaji lakn lawama anapewa kocha
Hii timua timua ya makocha kila mwaka haitatufikisha popote kwan ngumu kwa kocha kuimplement falsafa zake kwa MDA mchache hivyo
Tatizo la Simba siyo kocha n Zaid ya kocha had uongoz unahusika
Tano nyingi wewe watu wanawekeza bela sio karangaHuu sasa ndio ujinga wa soka la Bongo. Kocha anafukuzwa kazi kwa kufungwa na mtani.
Mazuri yote yake hayana maana kama asipoweza kumfunga mtani wa timu.
Soka letu linakwama namna hii.
Kanzu mpya shekhe ni yuleyule.Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho).
Vilevile tumefikia makubaliano ya kusitisha mkataba wa kocha wa viungo Corneille Hategekimana.
Uongozi wa Klabu ya Simba unawashukuru Makocha hawa kwa mchango wao ndani ya klabu yetu na inawatakia kila la heri katika majukumu yao mapya.
Katika kipindi cha mpito kikosi chetu kitakuwa chini ya Kocha Daniel Cadena akisaidiwa na Seleman Matola.
Tayari mchakato wa kutafuta makocha wapya umeanza na unatarajiwa kukamilika hivi punde.
Nilitaka kuongelea hili, uko 100%. Mimi naamini kila team ina malengo yake ya msimu na hili lisipofikiwa kunaangaliwa nini tumekosea na watu wanawajibika. Sasa sijui kufungwa na mtani ni moja ya mambo ya malengo? Maana team inaweza kufungwa lakini kesho wakachukuwa ubingwa, CAF wakafika mbali na mafanikio nje ya uwanja. Mimi sisemi kocha mzuri au hapana hiyo ni issue nyingine na kama mbaya basi waliomuajiri inabidi wawajibike katika hili pia. Kwa hili Simba ni kama wamewapa lingine watani kuongelea, tano na kocha mmefukuza😉Huu sasa ndio ujinga wa soka la Bongo. Kocha anafukuzwa kazi kwa kufungwa na mtani.
Mazuri yote yake hayana maana kama asipoweza kumfunga mtani wa timu.
Soka letu linakwama namna hii.
Watu wanamtetea kocha lakini ukweli ni kwamba mbali na mechi hii na yanga mfumo wake tangu ashike timu ulishafeli,magoli tunayofunga ni papatu papatu hamna mfumo wa maana,hakuna mpira wa malengo ni kukimbia tu na pasi ndefu,he is a failureBora Wameng'oa mtu gani hakuna Ushindi ni Draw na hajui kwamba Simba na Yanga ndo mechi alitakiwa angalau kutupoza Machungu ya Al Ahly halafu ndo anatuzidishia Mbuzi wahedi mkubwa akasalimiae kwao Chui wa kijani huyo.