Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 14,938
- 25,405
Huyu kaangushiwa tu zigo la lawama. Mbona kocha mzuri tu yule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutafika tyuuh! Wala hakuna shida.Akija kocha mwingine, mtasema hivi hivi! Kila mwaka timu inaajiri na kufukuza kocha! Halafu wakati huo huo mna ndoto eti za kufika mbali kimataifa!!
Kwendraaa huko, mfyuuuuhAcha mitusi bure msiambiwe ukweli...[emoji1787] Kimeliwa kimeliwa tu ..[emoji23]
Kafara hiyo.Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho).
Vilevile tumefikia makubaliano ya kusitisha mkataba wa kocha wa viungo Corneille Hategekimana.
Uongozi wa Klabu ya Simba unawashukuru Makocha hawa kwa mchango wao ndani ya klabu yetu na inawatakia kila la heri katika majukumu yao mapya.
Katika kipindi cha mpito kikosi chetu kitakuwa chini ya Kocha Daniel Cadena akisaidiwa na Seleman Matola.
Tayari mchakato wa kutafuta makocha wapya umeanza na unatarajiwa kukamilika hivi punde.
Kwa pira lile bora tu alipofukuzwa,ishu siyo kupigwa na mtani bali pira la hovyo sana lilikuwa linachezwa.Huu sasa ndio ujinga wa soka la Bongo. Kocha anafukuzwa kazi kwa kufungwa na mtani.
Mazuri yote yake hayana maana kama asipoweza kumfunga mtani wa timu.
Soka letu linakwama namna hii.
Na yule Beki Inonga naye kawa uji uji sana siku hizi rudisha Babu Onyango mtu kazi..Naomba iwe kweli, kocha simpendi kabisaaa.
Na dirisha dogo, Ntibanzokiza afurushwee.
Tulitegemea, si mageni kwenye tasnia ya soka kwenye nchi zetu hizi.......Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho).