Simba yamtimua kocha Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho)

Azam kama wana akili ndio muda wa kumchukua huyu kocha, kwanza ana uzoefu na soka la bongo, pili azam wana wachezaji wazuri kuliko simba lakini pia kocha anawajua makolo nje ndani kwa hiyo wakikutana ni mwendo wa kuwapasua tu.

Kwa ule mpira objective , Azam watashuka daraja.
 
Umemeliza yakhe
 

Simba inasajili kwa mihemuko na sio ubora. Ngoja Yanga iwike kimataifa ndio watampata akili.
 
Ubora au sio ubora ni mpaka athibitishe kwa matokeo yake, mbinu zake na aina ya mchezo wake.

Zidane hakuwa kocha hapo kabla ila akaonesha ubora wake.
Kwani Matola ndio mara ya kwanza kupewa timu mpaka usijue ubora wake?
 
Shida ya mashabiki wa yanga ni wanafiki, na pia ni vigeu geu wakiona simba wameshinda wapo na jezi ya simva ng'we ukiona yanga wamefubga ng'wee halafu wengi ni wachawi
Huu uandishi unaonyesha tu bado una wenge la kichapo akilini mwako. Kuwa mtulivu angalau wiki tatu utakaa sawa tu
 
Mbumbumbu
 

Robertinyo sio kocha yule Bora aende tu.
 
😁😁😁😁mwamba wa Lusaka
 
Wamesahau kocha huyo huyo ndiye waliyetoka kumshangilia kwa kuchuana vikali na giant wa Africa, bingwa wa Africa ( Al Ahly) na kutoshana nguvu.

Kocha hafai yule. Aende zake. Shida Simba inaongozwa na vilaza.
 
Wamuombe msamaha Mgunda kwa kumuharibia wakati wake, bora mngemuacha na Coastal yake kuliko kumfanya kama karai la zege. Simba wakifanya mchezo, mechi zao zinazokuja watasulubiwa na kuwatoa kabisa kwenye mashindano yoyote wanayoshiriki.
Kocha siyo tatizo, tatizo jinsi timu inavyoendeshwa.
 
Shida ya Simba ni Viongozi wasio na Vision. Kuna kipindi walikuwa na kocha wa makipa wa kuazima, alipodakwa na madawa wakamkana. Ndipo wakasajiri kocha wa makipa mwingine. Kuna shida kubwa Simba.
Na wewe ukaamini ule msala wa unga ni wa yule kocha wa makipa peke yake viongozi hawahusiki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…