Simba yamtimua kocha Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho)

Simba yamtimua kocha Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho)

Pigwa Kofi hadi unalia na mtasema bado hamjasema vilio kila kona
Mimi siwezi kulia kisa faida ya wengine halooo mxiuu mimi ni shimba ila ng'o siwezi huzunika ila mechi ni mechi tu faida ya wengine . Hata yanga wameshinda ila upewa mshiko na bakresa ??
 
Viongozi wanampangia List ya Simba vs Yanga harafu anafukuzwa Kocha hakuna kocha anaweza kumpanga kipa ambae hajacheza mechi karibu miezi nane harafu aje apangwe kwenye Derby hiyo lazima ilikua maelekezo ya kina Mangungu...
 
Mimi siwezi kulia kisa faida ya wengine halooo mxiuu mimi ni shimba ila ng'o siwezi huzunika ila mechi ni mechi tu faida ya wengine . Hata yanga wameshinda ila upewa mshiko na bakresa ??
Kofi la nyani
JamiiForums-312072181.jpg
 
Viongozi wanampangia List ya Simba vs Yanga harafu anafukuzwa Kocha hakuna kocha anaweza kumpanga kipa ambae hajacheza mechi karibu miezi nane harafu aje apangwe kwenye Derby hiyo lazima ilikua maelekezo ya kina Mangungu...
Imevuja Manura ndio alielazimisha kupangwa na kocha akasema km kocha hatompanga hii Mechi anavunja mkataba na Simba

Kilichomfukuzisha kocha ni kutokua na maamuzi mbele ya mchezaji kumpanga kipa ambae alikua amewekwa nafasi ya 3 akacheze Derby na kuwaacha waliopewa nafasi ya 1 na 2
 
Imevuja Manura ndio alielazimisha kupangwa na kocha akasema km kocha hatompanga hii Mechi anavunja mkataba na Simba
Kipa anawezaje kulazimisha kupangwa basi hakuna Timu hapo kama hana fitness apangwe tuu yale magoli mengi ni makosa ya ukabaji ila kipa nae hakutoa msaada wowote mpaka beki akawa anamfata kumtuliza na mbona alivyochomesha hakutolewa walitaka afungwe Saba...
 
Ndio Manura alimbimbia kocha ampange ili apate ujiko kilichofuata mpaka wewe umelia na bado

Angalia Goli la Aziz Ki
JamiiForums-312072181.jpg
 
Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho).

Vilevile tumefikia makubaliano ya kusitisha mkataba wa kocha wa viungo Corneille Hategekimana.

Uongozi wa Klabu ya Simba unawashukuru Makocha hawa kwa mchango wao ndani ya klabu yetu na inawatakia kila la heri katika majukumu yao mapya.

Katika kipindi cha mpito kikosi chetu kitakuwa chini ya Kocha Daniel Cadena akisaidiwa na Seleman Matola.

Tayari mchakato wa kutafuta makocha wapya umeanza na unatarajiwa kukamilika hivi punde.

Yanga imeyataka yote haya, daaah kwa hiyo ndio tutakosa pira objective aiseee

Kocha wa watu hata Krismas hajaila akiwa hapa Bongo... Daah

Kwa hiyo na Yanga akimfunga Simba mechi ijayo tena watamtimua kocha? [emoji28]
 
Makolo yanaruka na kukanyaga,yanaruka kinyama×2
 
Huu sasa ndio ujinga wa soka la Bongo. Kocha anafukuzwa kazi kwa kufungwa na mtani.
Mazuri yote yake hayana maana kama asipoweza kumfunga mtani wa timu.
Soka letu linakwama namna hii.
Unadhani tatizo ni viongozi? Tatizo kuu ni mashabiki kukosa consistency kwenye hoja zetu kwa timu. Kidogo tu mashabiki wanaridhika wanatoka kwenye hoja ya msingi.

Mara nyingi viongozi wa mpira TZ huficha makosa yao kwa kutimua makocha ili kutuliza mashabiki. Tulipotolewa mapema na Galaxy alifukuzwa Gomes na viongozi wakabaki.

Lakini, mwalimu aliweka orodha ya wachezaji anaowataka ila bila maelezo hawakusajiliwa wote. Kocha aliondoka lakini matokeo yalibaki kuwa vilevile hadi leo.

Unaona kabisa Try Again amefeli kwenye hiyo nafasi yake, ila kwa kuwa kocha kafukuzwa basi mashabiki wameridhika na maisha yanaendelea.

Mimi najua Simba ina mipango mingi lakini karibu yote imeishia mdomoni. Uwanja umekwama. Ofisi za club ilikuwa zihamie katika ofisi kubwa zaidi hadi leo ziko palepale.

Nilikutana nao kabla sijasafiri nao wakasema ofisi zinahamia maeneo ya Victoria kwa kuwa pale kwa sasa ni padogo, ila hakuna kitu, kuna maneno tu.

Documentary ya msimu wa Simba ilikuwa itengenezwa tangu tukiwa na Gomes kwenye benchi la ufundi, ila hadi imekuja kutengenezwa na Yanga, yetu bado.

Aziz Ki, Nzengeli na Yao si ilikuwa wawe wachezaji wetu, waliishia wapi? Adebayor na Manzoki? Mipango iko mdomoni tu, na CEO Kajula ndiyo bingwa wa mipango ya mdomoni.

Wengi hamjui kama Nabi ilikuwa aje Simba ila hadithi ni ileile. Ilikuwa wakati ule ambao Yanga ilichukulia ubingwa Mbeya na Nabi alitengwa katika sherehe za ubingwa.

Tukachelewa hadi akaja kuongeza mwaka mmoja na Yanga, tena alikuja kwa kuchelewa. Mwisho tukasaini na yule kocha aliyedumu nasi kwa miezi mitatu tu akiwa na 'Mlete Mzungu'.

Ova
 
Back
Top Bottom