Simba yasaini mkataba wa miaka mitano na M-Bet kama Mdhamini Mkuu

Basi kulikuwa hakuna haja ya kuvaa hata hiyo Logo ya M-Bet kama bado hamjafikia makubalio yoyote ya kimkataba kati yao

Wangevaa T-shirt zao plain bila mdhamini mpk hapo watakapokubaliana kila kitu

Kitendo cha kuvaa nembo mdhamini bila makubaliano yoyote kukamilika,sio utaratibu mzuri wa uendeshwaji wa timu kisasa ila timu inaendeshwa kwa mihemko
 
Ila abas tarimba alichowafanyia simba kwenye mkataba wa sportpesa ingekuwa ulaya wangemfunga bora simba wameachana nae tuone na hao utopolo wao watafika wapi karibu M bet simba sports club.
 
Hicho kitu hakipo hauwezi kuvaa logo kabla mkataba hauja kamilika labda hizo taasisi zinaendeshwa kihuni

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Ni kawaida tu hata Man U kila walipokuwa wanabadili wadhamin mfano (CHEVLOLET- Teamviewer) watu walikuwa na mtazamo kama wako.

Chelsea nao wakati wanahama kwa SAMSANG watu walijua jersey zitakua hovyo.
Kwahiyo wewe utavaa jezi uliyoandika M-bet kwa mbele??
 
Kama vile ishu ya B 20
 
Kwanini unasema wanasubiri Yanga na SportPesa? Kwani wao Yanga na SportPesa wametoa tarehe ya kutangaza mkataba wao?
 
Huu Mkataba Unathamani Gani Mbona Hawasemi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wao wanakimbizana na iyo pesa wapate za kugharamia kuendesha timu maana nasikia wese limekata na bosi mawenge kasusa kiaina kutoa pesa unafikiri wangefanyaje? Na udhamini wao ni b.3 kwa mwaka kwa muda wa miaka 5,
 
Imenibidi kurudi kuangalia tena hiyo taarifa, sijaona mahala inatamkwa bil 15, kilichotamkwa ni miaka 5. Au kuna taarifa tofauti?
 
Hamnaga hiyo kitu.kuna TRA wanasubiri chao ukiongezacthamani unajitia kitanzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…