Simbachawene: Kijana wangu Mshugulikieni hadi awe na adabu kwa mujibu wa Sheria

Ulikosea Sana kushuka,Mimi wakinisimamisha nasimama mbele kidogo afu nasubiri wake,wakikaribia Ndio nafungua kioo, ukishuka kwenye gari ni ishara wanaona wao Ni wakubwa
 
RIp Magufuli. Sio wakati ule dogo angekula vitasa na baba angepumzishwa uwaziri. Yajayo yanafurahisha
Wake mwenyewe aliwahi kuzingua mbona hakujiudhuru ? Huku yeye akisema Ni mnyonge,mwanae alirecord yupo na pesa nyingi,aliishia kumpiga tu
 
Ulikosea Sana kushuka,Mimi wakinisimamisha nasimama mbele kidogo afu nasubiri wake,wakikaribia Ndio nafungua kioo, ukishuka kwenye gari ni ishara wanaona wao Ni wakubwa
Ni kweli ila bahati mbaya siku hiyo walikuwa wamesimamisha magari mengi mno hivyo nilipaki mbali na nilikuwa na haraka hivyo nikaona nitachelewa nikiwasubiri waje.
 
Ni kweli ila bahati mbaya siku hiyo walikuwa wamesimamisha magari mengi mno hivyo nilipaki mbali na nilikuwa na haraka hivyo nikaona nitachelewa nikiwasubiri waje.
Polisi wetu huwa Ni wajinga wajinga wanasahau maisha waliyonayo, Kuna mmoja huko Arusha alijidai mzarendo Sana ,Sirro akapita naye ,jamaa akaanza kutafuta wana Habari kuomba msamaha
 
Polisi wetu huwa Ni wajinga wajinga wanasahau maisha waliyonayo, Kuna mmoja huko Arusha alijidai mzarendo Sana ,Sirro akapita naye ,jamaa akaanza kutafuta wana Habari kuomba msamaha
Ni kweli. Ila kuna traffic wengine hata askali ni waungwana mno, tena wanakufanya mpaka utii sheria bila shuruti. Ila hawa wa mtoto wa Simbachawene walimseti dogo baada ya rushwa kugoma ili waonekane wao wasafi. Najua dogo ataenda kumpa mchongo mzima mama yake na ikifika kwa mzee wake hao polisi hawana chao
 
Hao polisi ni wazembe wafukuzwe tu, hadi mtu anamchukua video mtoto wa waziri wao wamezubaa tu, hawajui hiyo ni aibu kwa taifa? Badala ya kuitetea nchi wao wanaanza kuivua nguo!

Kazi hawana hao!
 
Hio ni tofauti na kugonga magari ya watu na kukimbia na kutukana polisi
Kugonga gari ya mtu ni trafic case ndogo mno, yule nani sijui mwenye kikampuni kinaitwa sijui Ocean nini nini, aligonga akaua mtu lakini hakumaliza hata dk 20 kituoni kesi ikawa imeisha...

Shida huyu dogo ni matusi kwa polisi, hata hivyo, hakukuwa na sababu ya kuweka video mitandaoni, wangemalizana nae tu, kwanza ana hela wenye magari yao angewalipa tu..
 
This is Bongo mkuu. Hivi ulishawahi kujua wale traffic wanaowazinguaga madereva wa serikali kwa video huwa wanaishia wapi??? Hahahah huyo dogo kila atakaye mshughulikia be assured atapoteza cheo.
Sio kweli, afande aliyemkamata mke wa waziri mahiga alipandishwa cheo
 
Traffic case hiyo,, no big deal,,,
 
Kigoto ilikuwa fire, duuu ukiona jengo tu na pori lake mwili unasisimka tumekula Sana mapera, machungwa na maparachichi kipindi hicho Cha utotoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…