Simbachawene: Kijana wangu Mshugulikieni hadi awe na adabu kwa mujibu wa Sheria

Katika hili umemuonea Pascal Mayalla
Inaonyesha wewe ni mshamba tu mkuu na ushamba sio tusi wala kashfa.
Ninamaanisga aliyoyasema Oascal yako nje ya ufahamy wako.
Katika hili unemhukumu bure kabisa
 
Waziri amekimbilia kuongea kisiasa hali akijua hakuna polisi hata mmoja atakayejaribu kumshughulikia huyo kijana.
 
Biblia inasema mzazi hatohukumiwa kwa kosa la mtoto wake na mtoto hatohukumiwa kwa kosa la mzazi wake

Ujinga wa mtoto wa waziri asihukumiwe baba yake

Anaeona mtoto wake yupo sawa hana mapungufu awe wa kwanza kumuhukumu waziri.
Sasa baba yake kajitokeza kuomba radhi ya nini kwanini asingekaa kimya
 
Nani ajiuzulu? Nikijiuzulu itakusaidia nini?
 
Xxx-eeeee hallo Mkuu, uliyoyasema ni kweli, tumfanye tunavyotaka ?

Lionwene- Nilitaka isiwe story, sasa ole wako aniambie mmemgusa !

Xxx- Wazi Mkuu. Usijali Tunamwachia na hizi gharama tutalipa sisi.

Lionwene- Goodboy.
 
Kwahaya namengine yanayotokea napatawasiwasi hukotuendako tutakosa hata jeshi makini nasema hivyo kwani naona hatapolice watachukua hatua baada ya mzee wake kusema anatoa kibali ashughulikiwe apate adabu inamaana bila mzee kusema sipati picha
 
Issue hii ni personal sana na ni issue ya akwaida sana baada ya watu kudeal na vitu vya msingi maisha yamekua ghari sana tunakuja kucomment simbachawene awe responsible kwenye issue haina kichwa wala miguu.kwenye tozo mpo kimya
Wewe umesema nini kuhusu tozo?
 
Nimetafakari nimegundua huenda huyu kijana huenda akawa ana shida fulan ya psychology

Ni malezi tu wala si kingine. Labda hujawahi kukutana na watoto, ndugu au wake wa viongozi wa CCM. Wengi wana fikra kama za huyu kijana kwamba hawagusiki na ukiwagusa umekwisha. Wahanga wakubwa wa tabia zao ni Polisi na Madaktari.
 
Huyo mtoto angekuwa under 18 ndo ungesema Simbachawene ajiuzulu ila ni mtu mzima hakuna aliyemtuma akanywe pombe.
 
Tanzania hatunaga utamaduni wa kuwajibika kwa kosa ya subordinate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…