Simbachawene: Kijana wangu Mshugulikieni hadi awe na adabu kwa mujibu wa Sheria

Mzee wa nyuzi zenye maslahi ya taifa skuizi unanifurahisha sana yaani kuna watu mnamchokoza Mungu kwa unafiki siku akiwapa malipo mtabaki mnalilia

Inajulikana mvunjifu wa Sheria achukuliwe hatua iwe kwa sababu ya malezi au iwe kwa makuzi haijalishi, awe Baba kiongozi au ustadhi hali kadhalika, that has nothing to do na taifa hilo ni swala binafsi wala halihitaji uzi na majibu mareefu.

Lakini fasta tu umedakia na kuaadress kwa sababu unajua watakusikiliza lakini kwa maswala ya kitaifa ambayo ni unfavourable kwa CCM upo kimyaaaa kama huoni malalamiko ya watu kuhusu TOZO batili eti kwa sababu tu umeisha lambishwa tayari.

Nakwambia hivi Mungu anakuona na atakuonyesha In Shaa Allah kwa double standard zako !!!

Jua kua hiyo sauti uliyojaaliwa hukujipa wewe kama wewe, ulibarikiwa na Mungu sasa unapoidhulumu baraka ya Mungu maana yake unajitafutia laana

MAYALLA, MAYALLA, MAYALLA X 3

Kuwa makini na sauti yako unajitafutia laana shauri yako usije sema hatukukwambia hiyo asali ya CCM itakuponza
Katika hili umemuonea Pascal Mayalla
Inaonyesha wewe ni mshamba tu mkuu na ushamba sio tusi wala kashfa.
Ninamaanisga aliyoyasema Oascal yako nje ya ufahamy wako.
Katika hili unemhukumu bure kabisa
 
Waziri amekimbilia kuongea kisiasa hali akijua hakuna polisi hata mmoja atakayejaribu kumshughulikia huyo kijana.
 
Biblia inasema mzazi hatohukumiwa kwa kosa la mtoto wake na mtoto hatohukumiwa kwa kosa la mzazi wake

Ujinga wa mtoto wa waziri asihukumiwe baba yake

Anaeona mtoto wake yupo sawa hana mapungufu awe wa kwanza kumuhukumu waziri.
Sasa baba yake kajitokeza kuomba radhi ya nini kwanini asingekaa kimya
 
Kwenye nchi za wenzetu zinazoheshimu uwajibikaji, this is an embarrassment kwa mzazi!, mwana unleavyo ndivyo akuavyo, Mhe. Simbachawene anawajibika kwa tortuous liability ya malezi ya kijana wake iitwayo vicarious liability ya malezi mabovu ya wazazi, hivyo Baba anapaswa kuwajibika kwa embarrassment iliyosababishwa na makosa ya kijana wake, mzazi anawajibika kwa kosa la mtoto, mume anawajibika kwa kosa la mke, boss anawajibika kwa kosa la mtumishi wake, hata Ali Hassan Mwinyi alipowajibika ile 1976 akiwa Waziri wa mambo ya ndani kwa vifo vya wale mahabusu wawili, Masaga Makhula Mazengenuka na Isaack Ng'wana Ng'hohoboko, Mwinyi did nothing!, mahabusu hao walikufa kufuatia mahojiano na polisi eneo la Kigoto, na waliokolewa na RSO wa Mwanza, na vifo vyao vikamponza Mzee wa watu aliyewaokoa!. Aliyejiuzulu ni Mwinyi na hakuwa na kosa lolote.

UK, US, Canada, Australia na Newsland, Baba, mama, mke na mtoto wa politicians ukifanya kosa lolote la embarrassment and put the public office into disrepute, mfano kukutwa na Wanawake wa barabarani, ukiacha mke, mtoto wako akifanya kituko, you immediately leave the public office!.

P.
Nani ajiuzulu? Nikijiuzulu itakusaidia nini?
 
Xxx-eeeee hallo Mkuu, uliyoyasema ni kweli, tumfanye tunavyotaka ?

Lionwene- Nilitaka isiwe story, sasa ole wako aniambie mmemgusa !

Xxx- Wazi Mkuu. Usijali Tunamwachia na hizi gharama tutalipa sisi.

Lionwene- Goodboy.
 
Nimeiona clip inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii , nakiri kuwa huyo ni kijana wangu ambae ni mtu mzima anajitegemea na anafamilia yake….

Nimemwagiza Mkuu kituo kwa sababu amekosa adabu kwa jeshi la polisi na ametenda kosa la usalama barabarani ASHUGHULIKIWE BILA HURUMA KWA MUJIBU WA SHERIA … Binafsi naomba RADHI SANA kwa walioathirika na mkasa huo lkn pia kwa jeshi la polisi na Watanzania wote.

POLENI KWA USUMBUFU WOWOTE MLIOUPATA

George B. Simbachawene (mb).
View attachment 2329436
Kwahaya namengine yanayotokea napatawasiwasi hukotuendako tutakosa hata jeshi makini nasema hivyo kwani naona hatapolice watachukua hatua baada ya mzee wake kusema anatoa kibali ashughulikiwe apate adabu inamaana bila mzee kusema sipati picha
 
Issue hii ni personal sana na ni issue ya akwaida sana baada ya watu kudeal na vitu vya msingi maisha yamekua ghari sana tunakuja kucomment simbachawene awe responsible kwenye issue haina kichwa wala miguu.kwenye tozo mpo kimya
Wewe umesema nini kuhusu tozo?
 
Nimetafakari nimegundua huenda huyu kijana huenda akawa ana shida fulan ya psychology

Ni malezi tu wala si kingine. Labda hujawahi kukutana na watoto, ndugu au wake wa viongozi wa CCM. Wengi wana fikra kama za huyu kijana kwamba hawagusiki na ukiwagusa umekwisha. Wahanga wakubwa wa tabia zao ni Polisi na Madaktari.
 
Kwenye nchi za wenzetu zinazoheshimu uwajibikaji, this is an embarrassment kwa mzazi!, mwana unleavyo ndivyo akuavyo, Mhe. Simbachawene anawajibika kwa tortuous liability ya malezi ya kijana wake iitwayo vicarious liability ya malezi mabovu ya wazazi, hivyo Baba anapaswa kuwajibika kwa embarrassment iliyosababishwa na makosa ya kijana wake, mzazi anawajibika kwa kosa la mtoto, mume anawajibika kwa kosa la mke, boss anawajibika kwa kosa la mtumishi wake, hata Ali Hassan Mwinyi alipowajibika ile 1976 akiwa Waziri wa mambo ya ndani kwa vifo vya wale mahabusu wawili, Masaga Makhula Mazengenuka na Isaack Ng'wana Ng'hohoboko, Mwinyi did nothing!, mahabusu hao walikufa kufuatia mahojiano na polisi eneo la Kigoto, na waliokolewa na RSO wa Mwanza, na vifo vyao vikamponza Mzee wa watu aliyewaokoa!. Aliyejiuzulu ni Mwinyi na hakuwa na kosa lolote.

UK, US, Canada, Australia na Newsland, Baba, mama, mke na mtoto wa politicians ukifanya kosa lolote la embarrassment and put the public office into disrepute, mfano kukutwa na Wanawake wa barabarani, ukiacha mke, mtoto wako akifanya kituko, you immediately leave the public office!.

P.
Huyo mtoto angekuwa under 18 ndo ungesema Simbachawene ajiuzulu ila ni mtu mzima hakuna aliyemtuma akanywe pombe.
 
Tanzania hatunaga utamaduni wa kuwajibika kwa kosa ya subordinate
 
Back
Top Bottom