Ndio nawaambia wanaona dogo kaonewa hizo clip zingine hawajaziona ila wanamtetea, siwapendi hawa jamaa wa road ila kwa hili dogo kazingua.View attachment 2329578Hapa dogo ndio kaaamua awatusi kabisa Polisi ππ
Watasomeshwa nambaTena hao traffic nina uhakika wanaweza kufukuzwa kazi au kuondolewa kwenye u traffic. Mnamkumbuka kamanda wa Traffic mmoja alivyo mshughulikia dereva wa serikali kwa video, baada ya muda aliondolewa kwenye nafasi yake. Yaani hao traffic ni wajinga, walipaswa wanalizane naye kimya kimya
Nimekuuliza ndipo nikatia sentensi moja ya kiinglishi, kwenye hiyohiyo post niliyouliza, sio ya nyuma yake.kwenye hiyo reply yako nioneshe hicho kiinglish mwalimu wangu
Bongo hiyo minesterial liability haiwezekani mkuu PKwenye nchi za wenzetu zinazoheshimu uwajibikaji, this is an embarrassment kwa mzazi!, mwana unleavyo ndivyo akuavyo, Mhe. Simbachawene anawajibika kwa tortuous liability ya malezi ya kijana wake iitwayo vicarious liability ya malezi mabovu ya wazazi, hivyo Baba anapaswa kuwajibika kwa embarrassment iliyosababishwa na makosa ya kijana wake, mzazi anawajibika kwa kosa la mtoto, mume anawajibika kwa kosa la mke, boss anawajibika kwa kosa la mtumishi wake, hata Ali Hassan Mwinyi alipowajibika ile 1976 akiwa Waziri wa mambo ya ndani kwa vifo vya wale mahabusu wawili, Masaga Makhula Mazengenuka na Isaack Ng'wana Ng'hohoboko, Mwinyi did nothing!, mahabusu hao walikufa kufuatia mahojiano na polisi eneo la Kigoto, na waliokolewa na RSO wa Mwanza, na vifo vyao vikamponza Mzee wa watu aliyewaokoa!. Aliyejiuzulu ni Mwinyi na hakuwa na kosa lolote.
UK, US, Canada, Australia na Newsland, Baba, mama, mke na mtoto wa politicians ukifanya kosa lolote la embarrassment and put the public office into disrepute, mfano kukutwa na Wanawake wa barabarani, ukiacha mke, mtoto wako akifanya kituko, you immediately leave the public office!.
P.
Mkuu, zipo, tena anavuta cocaine, na zingine za ngono kabisa...
View attachment 2329578Hapa dogo ndio kaaamua awatusi kabisa Polisi ππ
Viongozi hadi watoto wao wamevimbiwa madaraka. Dahhh..hao askari nawasifu sana.View attachment 2329578Hapa dogo ndio kaaamua awatusi kabisa Polisi ππ
Kuna watu wanapenda kutumia nafasi zao vibaya!Nimeiona clip inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii , nakiri kuwa huyo ni kijana wangu ambae ni mtu mzima anajitegemea na anafamilia yakeβ¦.
Nimemwagiza Mkuu kituo kwa sababu amekosa adabu kwa jeshi la polisi na ametenda kosa la usalama barabarani ASHUGHULIKIWE BILA HURUMA KWA MUJIBU WA SHERIA β¦ Binafsi naomba RADHI SANA kwa walioathirika na mkasa huo lkn pia kwa jeshi la polisi na Watanzania wote.
POLENI KWA USUMBUFU WOWOTE MLIOUPATA
George B. Simbachawene (mb).
View attachment 2329436
Wanasema kaonewa kwani kafanywa nini? Huyo hafanywi lolote na hao polisi inaweza kula kwao kwa kuruhusu kuchukuliwa kwa video inayomuaibisha waziri.Ndio nawaambia wanaona dogo kaonewa hizo clip zingine hawajaziona ila wanamtetea, siwapendi hawa jamaa wa road ila kwa hili dogo kazingua.
Bro hapa naona umenyooka bila chenga, lakini kwa mambo ya tozo, katiba mpya, kesi za michongo michongo unapuyanga kweli!Kwenye nchi za wenzetu zinazoheshimu uwajibikaji, this is an embarrassment kwa mzazi!, mwana unleavyo ndivyo akuavyo, Mhe. Simbachawene anawajibika kwa tortuous liability ya malezi ya kijana wake iitwayo vicarious liability ya malezi mabovu ya wazazi, hivyo Baba anapaswa kuwajibika kwa embarrassment iliyosababishwa na makosa ya kijana wake, mzazi anawajibika kwa kosa la mtoto, mume anawajibika kwa kosa la mke, boss anawajibika kwa kosa la mtumishi wake, hata Ali Hassan Mwinyi alipowajibika ile 1976 akiwa Waziri wa mambo ya ndani kwa vifo vya wale mahabusu wawili, Masaga Makhula Mazengenuka na Isaack Ng'wana Ng'hohoboko, Mwinyi did nothing!, mahabusu hao walikufa kufuatia mahojiano na polisi eneo la Kigoto, na waliokolewa na RSO wa Mwanza, na vifo vyao vikamponza Mzee wa watu aliyewaokoa!. Aliyejiuzulu ni Mwinyi na hakuwa na kosa lolote.
UK, US, Canada, Australia na Newsland, Baba, mama, mke na mtoto wa politicians ukifanya kosa lolote la embarrassment and put the public office into disrepute, mfano kukutwa na Wanawake wa barabarani, ukiacha mke, mtoto wako akifanya kituko, you immediately leave the public office!.
P.
Ila JFK wa US alikuwa anag*nga sana malaya, kwa nini hakuachia ofisi?Kwenye nchi za wenzetu zinazoheshimu uwajibikaji, this is an embarrassment kwa mzazi!, mwana unleavyo ndivyo akuavyo, Mhe. Simbachawene anawajibika kwa tortuous liability ya malezi ya kijana wake iitwayo vicarious liability ya malezi mabovu ya wazazi, hivyo Baba anapaswa kuwajibika kwa embarrassment iliyosababishwa na makosa ya kijana wake, mzazi anawajibika kwa kosa la mtoto, mume anawajibika kwa kosa la mke, boss anawajibika kwa kosa la mtumishi wake, hata Ali Hassan Mwinyi alipowajibika ile 1976 akiwa Waziri wa mambo ya ndani kwa vifo vya wale mahabusu wawili, Masaga Makhula Mazengenuka na Isaack Ng'wana Ng'hohoboko, Mwinyi did nothing!, mahabusu hao walikufa kufuatia mahojiano na polisi eneo la Kigoto, na waliokolewa na RSO wa Mwanza, na vifo vyao vikamponza Mzee wa watu aliyewaokoa!. Aliyejiuzulu ni Mwinyi na hakuwa na kosa lolote.
UK, US, Canada, Australia na Newsland, Baba, mama, mke na mtoto wa politicians ukifanya kosa lolote la embarrassment and put the public office into disrepute, mfano kukutwa na Wanawake wa barabarani, ukiacha mke, mtoto wako akifanya kituko, you immediately leave the public office!.
P.
Mtoto wa Biden? Alikuwa anafanyaje?Uliona zile video za mtoto wa Biden? Na bado Biden Yuko ofisini.
Muda mwingine mzazi unajitahidi Ila watoto hawasikii, hasa hiki kizazi cha hovyo!
KabisaHata mimi nashangaa sana huyo kijana mwenyewe hakuna alipotamka kwa mdomo wake hayo maneno.
Watanzania tupunguze Wivu na Husda jamani, aliyekuzidi pambana naye kwa kutafuta zaidi yake lkn siyo kulazimisha umshusheeee. Huo ni Uchawi kama ilivyo Ulozi tu
Halafu hawa baadhi ya wanasiasa,wasiishie tu kukimbizana na siasa,walee vyema watoto wao pia,hii sidhani kama watoto au ndugu wa late JPM imewahi kutokea,mzee yule alikua anadiscipline TAIFA na familia yake pia.Viongozi waige aina ile ya ulezi,mzee hakuegemea kwa wananchi tu,hadi kwake.Kwenye nchi za wenzetu zinazoheshimu uwajibikaji, this is an embarrassment kwa mzazi!, mwana unleavyo ndivyo akuavyo, Mhe. Simbachawene anawajibika kwa tortuous liability ya malezi ya kijana wake iitwayo vicarious liability ya malezi mabovu ya wazazi, hivyo Baba anapaswa kuwajibika kwa embarrassment iliyosababishwa na makosa ya kijana wake, mzazi anawajibika kwa kosa la mtoto, mume anawajibika kwa kosa la mke, boss anawajibika kwa kosa la mtumishi wake, hata Ali Hassan Mwinyi alipowajibika ile 1976 akiwa Waziri wa mambo ya ndani kwa vifo vya wale mahabusu wawili, Masaga Makhula Mazengenuka na Isaack Ng'wana Ng'hohoboko, Mwinyi did nothing!, mahabusu hao walikufa kufuatia mahojiano na polisi eneo la Kigoto, na waliokolewa na RSO wa Mwanza, na vifo vyao vikamponza Mzee wa watu aliyewaokoa!. Aliyejiuzulu ni Mwinyi na hakuwa na kosa lolote.
UK, US, Canada, Australia na Newsland, Baba, mama, mke na mtoto wa politicians ukifanya kosa lolote la embarrassment and put the public office into disrepute, mfano kukutwa na Wanawake wa barabarani, ukiacha mke, mtoto wako akifanya kituko, you immediately leave the public office!.
P.
Utajuta wewe mkuunawasikitikia hao maafisa kuwa vibarua vyao vitaota mbawa.
Wameanza Mawaziri kututukana.
Wamefuata watoto wao bado wake zao na michepuko yao itumwagie matusi tukome.
Hii ni awamu ya makambale kila mtu ana ndevu.
Tutatukanwa mpaka tujute.
Huyo mtoto wa Lowassa alikuwa wa kike au wa kiume?Tanzania uharibifu huu ni sifa wala sio kosa la mtu kuwajibika.
nina mifano mingi ya askari walioharibiwa kazi na watoto wa viongozi akiemo Lowassa.
sipendi vitendo vya kutumia madaraka vibaya.
Huyu Simbachawene alitakiwa aende mbali zaidi ya hapo.
Ulikuwa kidato cha ngapi kwa wakati huo?Nimesoma na dogo mmoja wa Simbachawene enzi za Magufuli. Nilimtangulia vidato kadhaa ila alikuwa akifanya makosa haadhibiwi na shule kwa woga. Tulikuwa tukifanya makosa tunajichanganya naye, ukitaka kutoroka ukawa nae unaweza pita hata kwa mkuu wa shule na usisumbuliwe.
Alikuwa somehow cool, tatizo makundi ya wahuni
And how old are you now? Be frankNimesoma na dogo mmoja wa Simbachawene enzi za Magufuli. Nilimtangulia vidato kadhaa ila alikuwa akifanya makosa haadhibiwi na shule kwa woga. Tulikuwa tukifanya makosa tunajichanganya naye, ukitaka kutoroka ukawa nae unaweza pita hata kwa mkuu wa shule na usisumbuliwe.
Alikuwa somehow cool, tatizo makundi ya wahuni
Ilete hapa hata video moja tu ikionyesha anavuta cocaine
Yah!kikubwa wamshugulikie ipasavyoWatu wakianza kujiuzulu kisa watoto au kufumaniana na michepuko, nakuhakikishia hii nchi itakosa viongozi.