Simbachawene: Kijana wangu Mshugulikieni hadi awe na adabu kwa mujibu wa Sheria

Hakuna kitu Simba akiludi nyumbani
Mke wake akichachama hakunajipya
Majibu ya mke bado
 
Yaani kosa afanye mtoto wangu mwenye akili zake mwenyewe alafu mie ndio niwajibike...hapana awajinike huyo huyo mtoto as long as he or she is above 21
 
Drama ya kuwasahaulisha TOZO. Na Kama ujuavyo wabongo watajaa na kusahau maumivu ya tozo taratiibu!
 
TAARIFA
“Nimeiona clip inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii , nakiri kuwa huyo ni kijana wangu ambae ni mtu mzima anajitegemea na anafamilia yake….
Nimemwagiza Mkuu wa kituo kwa sababu amekosa adabu kwa jeshi la Police na ametenda kosa la usalama barabarani ASHUGHULIKIWE BILA HURUMA KWA MUJIBU WA SHERIA …
Binafsi naomba RADHI SANA kwa walioathirika na mkasa huo lakini pia kwa jeshi la polisi na Watanzania wote. POLENI KWA USUMBUFU WOWOTE MLIOUPATA
Ni Mimi.
George B. Simbachawene(MB)

Your browser is not able to display this video.




Your browser is not able to display this video.

 
Kwanza dogo anapaswa kuwashtaki hao wapuuzi waliomrekodi..

Yeye ahukumiwe ndio na pia ahukumu wake..
Sheria ni msumeno.
 
Nyau chawene Hana kosa,alikuwa kalewa,ukeshe Club alafu uongee ya maana ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti nyau kwamba mtoto wa Simba[emoji23][emoji23][emoji23]
 

Eze 18:20 SUV​

Roho itendayo dhambi, ndiyo itakayokufa; mwana hatauchukua uovu wa baba yake, wala baba hatauchukua uovu wa mwanawe, haki yake mwenye haki itakuwa juu yake, na uovu wake mwenye uovu utakuwa juu yake.
 
Drama ya kuwasahaulisha TOZO. Na Kama ujuavyo wabongo watajaa na kusahau maumivu ya tozo taratiibu!
Nimeiona clip inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii , nakiri kuwa huyo ni kijana wangu ambae ni mtu mzima anajitegemea na anafamilia yake….

Nimemwagiza Mkuu kituo kwa sababu amekosa adabu kwa jeshi la polisi na ametenda kosa la usalama barabarani ASHUGHULIKIWE BILA HURUMA KWA MUJIBU WA SHERIA … Binafsi naomba RADHI SANA kwa walioathirika na mkasa huo lkn pia kwa jeshi la polisi na Watanzania wote.

POLENI KWA USUMBUFU WOWOTE MLIOUPATA

George B. Simbachawene (mb).
 
Maaskari nao wanazingua , amekosa afande mmoja hapo amuwashe kwanza kibao cha machoni kumtoa wenge , halafu hicho kipande wasikirushe popote , 😀😀😀 hayo maneno anayotamka tamka ya matusi !! Dadeki ndo unikute kituoni !!
 
Mtoto na baba akili zilezile
 
nimeumia sana na RSO alikua baba mzazi wa paskali mayala
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…