Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Mkuu Mnyanyembe wa Mboka , asante, endelea kufurahi.Mzee wa nyuzi zenye maslahi ya taifa skuizi unanifurahisha sana
CCM ni mti, una mashina, matawi na mizizi, hivyo mtu huwezi kukata tawi ulilokalia, utaanguka.unajua watakusikiliza lakini kwa maswala ya kitaifa ambayo ni unfavourable kwa CCM upo kimyaaaa kama huoni malalamiko ya watu kuhusu TOZO batili eti kwa sababu tu umeisha lambishwa tayari.
Mimi mbona ni good boy!. Sina double standards zozote, ila nakiri kuwa selectively kwenye mada ninazochangia, siwezi kuchangia kila mada!.Nakwambia hivi Mungu anakuona na atakuonyesha In Shaa Allah kwa double standard zako !!!
Kwanza namshukuru sana Mungu kujijaalia sauti inayosikika!. Kwa miaka yangu 30 ya utangazaji, sauti yangu imesaidia mengi, imesaidia wengi na nimebarikiwa sana kwa hilo.Jua kua hiyo sauti uliyojaaliwa hukujipa wewe kama wewe, ulibarikiwa na Mungu sasa unapoidhulumu baraka ya Mungu maana yake unajitafutia laana
Asante kwa ushauri, nitauzingatia!.MAYALLA, MAYALLA, MAYALLA X 3
Kuwa makini na sauti yako unajitafutia laana shauri yako usije sema hatukukwambia hiyo asali ya CCM itakuponza
P