Simbachawene: Kijana wangu Mshugulikieni hadi awe na adabu kwa mujibu wa Sheria

mimi mapema tu ningemwaga wino sio kuwafurahisha watanzania bali kuonyesha uwajibigaji wangu kwa kushindwa responsible kwa malezi ya mtoto mpaka kuchafua image yangu hasa kutumia jina langu kufanya upumbavu wake.

angeishia kulewa tu na kuchukua malaya huko element isingekuwa issue kwangu ni his personal business, kitendo cha kumtaja baba waziri tayari jamii inaamini ndio mafunzo anayopewa au aliyopewa nyumbani, lakini pia itafundisha vijana wetu kujua madhara ya kutumia vyeo vya baba zao kujipatia unafuu wa maisha, kuonea wengine nk.
Sadly taifa letu liliondokana na hizo ideology siku tulipomfikisha Butiama baba wa taifa.
 
Huyu kijana angeishia kulewa na kuchukua malaya pale Element isingekuwa issue kwa baba yake Simbachawene.

Tatizo linaanzia pale anapotumia mamlaka ya baba yake kuvunja sheria na kuonea wengine, leo yuko exposed, Je pale ambapo hayuko exposed inakuaje, Yeye na baba yake lazima wawe responsible kwa hili iwe wengine wajifunze. TUWE WAKALI KIDOGO KUILINDA KUISHAPE JAMII.
 
Sadly taifa letu liliondokana na hizo ideology siku tulipomfikisha Butiama baba wa taifa.

sisi wananchi ndio wakuzirudisha kuishape jamii, hakuna anayeweza kuzirejeshi zaidi ya sisi raia kuwa wakali ili tuheshimiane.
 
Watoto wa wakubwa hawafi kwenye ajali maana wanatumia magari ya uhakika.
Unategemea ile passo ingeathiri gari ya mtoto wa mteule mlamba asali?
Tunamsubiri mahakamani asipooneka tunajua Kuna mkono wa mlamba asali.
 
Ujamaa hauna element ya rulling elites. Ujamaa uko based on ideology of equity ila modification iliofanywa na mwinyi na wenzie waliofuata except Magufuli ndio umeleta classes.

It was all fun hadi pale ambapo mlianza kualika wahindi na watu wa mataifa mengine kuhodhi viwanda na ardhi kwa migongo ya viongozi na chama cha mapinduzi. Huo mfumo toka hapo ukahamia kwenye ubepari ambao haujarasimishwa. Tanzania is a Capitalist country in which nobody cares about others kila mtu anaangalia maslahi yake tu. Hakuna utaifa tena.

Huwezi kuniambia tuko kwenye ujamaa wakati kuna watu wanapora maeneo toka kwa maskini na viongozi wanashirikiana na wageni kufisadi nchi. Katika nchi ambayo kuna multi billionaires na maskini ambaye hata kula yake haijulikani anaishi kwa kudra za Mungu. Unaita ujamaa?

Kwani enzi za Nyerere hakukuwa na vigogo? Vigogo wapo nchi hii tangu ipate uhuru. Hakuna usawa wa aina yoyote ulioletwa na Ujamaa. Angalia watoto wa vigogo wanavyorithi madaraka ndiyo utajua hakuna usawa. Labda useme vigogo wa siku hizi wamezidi ufisadi na tamaa nitakubali.

Tanzania ingekuwa nchi ya kibepari ingekuwa na matajiri wengi sana kwenye sekta binafsi. Ungeona makampuni, biashara na viwanda vingi sana kwenye sekta binafsi. Nchi ya watu milioni 60 halafu mabilionea wachache huwezi kusema ni nchi ya kibepari. Na umaskini uliopo nao ni matunda ya sera za Ujamaa zilizoharibu uchumi.
 
Kwenye nchi za wenzetu zinazoheshimu uwajibikaji, this is an embarrassment kwa mzazi!, mwana unleavyo ndivyo akuavyo, Mhe. Simbachawene anawajibika kwa tortuous liability ya malezi ya kijana wake iitwayo vicarious liability ya malezi mabovu ya wazazi, hivyo Baba anapaswa kuwajibika kwa embarrassment iliyosababishwa na makosa ya kijana wake, mzazi anawajibika kwa kosa la mtoto, mume anawajibika kwa kosa la mke, boss anawajibika kwa kosa la mtumishi wake, hata Ali Hassan Mwinyi alipowajibika ile 1976 akiwa Waziri wa mambo ya ndani kwa vifo vya wale mahabusu wawili, Masaga Makhula Mazengenuka na Isaack Ng'wana Ng'hohoboko, Mwinyi did nothing!, mahabusu hao walikufa kufuatia mahojiano na polisi eneo la Kigoto, na waliokolewa na RSO wa Mwanza, na vifo vyao vikamponza Mzee wa watu aliyewaokoa!. Aliyejiuzulu ni Mwinyi na hakuwa na kosa lolote.

UK, US, Canada, Australia na Newsland, Baba, mama, mke na mtoto wa politicians ukifanya kosa lolote la embarrassment and put the public office into disrepute, mfano kukutwa na Wanawake wa barabarani, ukiacha mke, mtoto wako akifanya kituko, you immediately leave the public office!.

P.
Mzazi wangu mmoja ni mwalimu na alikuwa anawafundisha sana tuition hawa "watoto wa wakubwa"; kiufupi hakuna watoto wapumbavu na wasio na adabu kama hawa.... katika 10 ni nadra kukuta 1 mwenye discipline, wengine ni majinga makubwa. Huyu hata mbele ya kamera kashindwa kuficha ujinga wake.
 
Unafikiri kwanini Magufuli watu walikuwa wanampigia kelele? That guy was having ideology ya kwamba sisi kama taifa wote tunapaswa kufurahia utanzania wetu sio watu flani wainjoy wengine wateseke na hili alilifanya kwa vitendo. He was against capitalism ila alikuwa anaamini ujamaa na kujitegemea. Kulazimisha socialism and self reliance kwa watu ambao wamesha adopt mfumo wa kibepari lazima wakuue tu.

Ufisadi na ubepari ni tofauti. Hao wanaotajirika kwenye siasa siyo mabepari. Ubepari ni sekta binafsi. Halafu Ujamaa hauwezi kuleta self reliance kwa sababu Ujamaa unaongeza umaskini. Maskini daima atakuwa omba omba.
 
Self reliance ni kile wanachokifanya urusi, una materials unauza nje unaendeleza nchi. Mengine unachakata bidhaa unauza ndani na kwa majirani.
Huko ndiko kujitegemea.

Serikali inakuwa center of the stage ku control na ku regulate uchumi. Private sector inakuwepo ila inadhibitiwa isifanye mambo ya hovyo kama wafanyayo mitandao ya simu.
Ufisadi na ubepari ni tofauti. Hao wanaotajirika kwenye siasa siyo mabepari. Ubepari ni sekta binafsi. Halafu Ujamaa hauwezi kuleta self reliance kwa sababu Ujamaa unaongeza umaskini. Maskini daima atakuwa omba omba.
 
Kwani enzi za Nyerere hakukuwa na vigogo? Vigogo wapo nchi hii tangu ipate uhuru. Hakuna usawa wa aina yoyote ulioletwa na Ujamaa. Angalia watoto wa vigogo wanavyorithi madaraka ndiyo utajua hakuna usawa. Labda useme vigogo wa siku hizi wamezidi ufisadi na tamaa nitakubali.

Tanzania ingekuwa nchi ya kibepari ingekuwa na matajiri wengi sana kwenye sekta binafsi. Ungeona makampuni, biashara na viwanda vingi sana kwenye sekta binafsi. Nchi ya watu milioni 60 halafu mabilionea wachache huwezi kusema ni nchi ya kibepari. Na umaskini uliopo nao ni matunda ya sera za Ujamaa zilizoharibu uchumi.
Kwahio bongo sio bepari ila watu ndio wanaishi kibepari?
 
Kwenye nchi za wenzetu zinazoheshimu uwajibikaji, this is an embarrassment kwa mzazi!, mwana unleavyo ndivyo akuavyo, Mhe. Simbachawene anawajibika kwa tortuous liability ya malezi ya kijana wake iitwayo vicarious liability ya malezi mabovu ya wazazi, hivyo Baba anapaswa kuwajibika kwa embarrassment iliyosababishwa na makosa ya kijana wake, mzazi anawajibika kwa kosa la mtoto, mume anawajibika kwa kosa la mke, boss anawajibika kwa kosa la mtumishi wake, hata Ali Hassan Mwinyi alipowajibika ile 1976 akiwa Waziri wa mambo ya ndani kwa vifo vya wale mahabusu wawili, Masaga Makhula Mazengenuka na Isaack Ng'wana Ng'hohoboko, Mwinyi did nothing!, mahabusu hao walikufa kufuatia mahojiano na polisi eneo la Kigoto, na waliokolewa na RSO wa Mwanza, na vifo vyao vikamponza Mzee wa watu aliyewaokoa!. Aliyejiuzulu ni Mwinyi na hakuwa na kosa lolote.

UK, US, Canada, Australia na Newsland, Baba, mama, mke na mtoto wa politicians ukifanya kosa lolote la embarrassment and put the public office into disrepute, mfano kukutwa na Wanawake wa barabarani, ukiacha mke, mtoto wako akifanya kituko, you immediately leave the public office!.

P.
Yeah, namkumbuka sana RSO mzee mayala alivyojitahidi kuwasave wale jamaa, kipindi hicho mimi nilikua DSO wa sengerema
 
Nimeiona clip inayozunguka kwenye mitandao ya kijamii , nakiri kuwa huyo ni kijana wangu ambae ni mtu mzima anajitegemea na anafamilia yake….

Nimemwagiza Mkuu kituo kwa sababu amekosa adabu kwa jeshi la polisi na ametenda kosa la usalama barabarani ASHUGHULIKIWE BILA HURUMA KWA MUJIBU WA SHERIA … Binafsi naomba RADHI SANA kwa walioathirika na mkasa huo lkn pia kwa jeshi la polisi na Watanzania wote.

POLENI KWA USUMBUFU WOWOTE MLIOUPATA

George B. Simbachawene (mb).
View attachment 2329436
Mh. Simbachawene alipaswa afanye kujiridhisha na upande wa askari. Kutoa ruhusa kumshughulikia kijana wanaweza kimdhulu dogo wafiche ushahidi
 
Hapana, asingesema polisi wangemnyanyasa huyo kijana kama wanavyotunyanyasa sisi kajamba nani, kasema kumaanisha kwamba huyo kijana hajitapi bure, kweli ni kijana wake na atakae mgusa ajiangalie!
Safi kwa kujitambua kuwa wewe ni kajamba nani
 
Kwenye nchi za wenzetu zinazoheshimu uwajibikaji, this is an embarrassment kwa mzazi!, mwana unleavyo ndivyo akuavyo, Mhe. Simbachawene anawajibika kwa tortuous liability ya malezi ya kijana wake iitwayo vicarious liability ya malezi mabovu ya wazazi, hivyo Baba anapaswa kuwajibika kwa embarrassment iliyosababishwa na makosa ya kijana wake, mzazi anawajibika kwa kosa la mtoto, mume anawajibika kwa kosa la mke, boss anawajibika kwa kosa la mtumishi wake, hata Ali Hassan Mwinyi alipowajibika ile 1976 akiwa Waziri wa mambo ya ndani kwa vifo vya wale mahabusu wawili, Masaga Makhula Mazengenuka na Isaack Ng'wana Ng'hohoboko, Mwinyi did nothing!, mahabusu hao walikufa kufuatia mahojiano na polisi eneo la Kigoto, na waliokolewa na RSO wa Mwanza, na vifo vyao vikamponza Mzee wa watu aliyewaokoa!. Aliyejiuzulu ni Mwinyi na hakuwa na kosa lolote.

UK, US, Canada, Australia na Newsland, Baba, mama, mke na mtoto wa politicians ukifanya kosa lolote la embarrassment and put the public office into disrepute, mfano kukutwa na Wanawake wa barabarani, ukiacha mke, mtoto wako akifanya kituko, you immediately leave the public office!.

P.
sikubaliani na ww hata kidogo..kwan huyu aliefanya kosa ni under 18? awajibike kivyake kwa sheria za nchi
 
Umri wangu hauna umuhimu kwenye mada. Nilikuwa Advance akiwa O level. Mpira tulienda wote kutazama na alifanya mambo ya kawaida kabisa ya wanafunzi wengine.
Can you imagine first time nimefika dorm namtazama hivi namuona Simbachawene huyu hapa.
Nimeelewa.! Ila unaonekana ulikuwa mwoga sana kwa huyo dogo, ukizingatia kuwa wewe ni mtoto wa mlala hoi kama ulivyojipambanua.
 
Ni malezi tu wala si kingine. Labda hujawahi kukutana na watoto, ndugu au wake wa viongozi wa CCM. Wengi wana fikra kama za huyu kijana kwamba hawagusiki na ukiwagusa umekwisha. Wahanga wakubwa wa tabia zao ni Polisi na Madaktari.
Kiukweli dogo kamuaibisha dingi wake
 
Ni ngumu mno nakuhakikishia. Yaani mtoto wa bosi hahahah. Yaani hapo Mama mtu akisema tu sitaki mwanangu ateseke hao polisi watakoma. Unakumbuka yule traffic wa Mke wa Dkt Mahiga, unajua kilichomtokea??? Alijuta!
Ni kipi hicho? Dk Mahiga huyu marehemu au?
 
Back
Top Bottom