Simbachawene: Kijana wangu Mshugulikieni hadi awe na adabu kwa mujibu wa Sheria

Simbachawene: Kijana wangu Mshugulikieni hadi awe na adabu kwa mujibu wa Sheria

Huyu kijana wa Simbachawene anavyoongea na polisi na watu aliowagonga Kwa jeuri na matusi na kutojali ni attitude hiyo hiyo Serikali hii ya CCM inavyowaona na kuongeana Watanzania.

Watoto wamejifunza Kwa baba zao. Baba na Mama zao.
 
Traffic wanamauzi hayajawakuta, Dogo Hongera kwa kuwa Chana hao waomba buku tano
kwa lugha za kihuni namna hiyo halafu anasema yeye ni mtoto wa waziri[emoji28][emoji28][emoji28]

ndio maama baba kaona isiwe tabu,huu ni ucenge kutetea ucenge[emoji1787].
 
This is Bongo mkuu. Hivi ulishawahi kujua wale traffic wanaowazinguaga madereva wa serikali kwa video huwa wanaishia wapi??? Hahahah huyo dogo kila atakaye mshughulikia be assured atapoteza cheo.
wewe hata hujui unachoongea.

unadhani cheo cha mtu ni machozi unafuta na leso yanapotea.
 
The poor kid is drunk guys...

Yes ! He might have behaved stupid..

But he is drunkk!! Maujinga haya ya tungi tunakumbana nayo sana. Hakutakiwa endelea hojiwa kwa hali hiyo..

Angeweza mtukana mpaka MaMa..

Nauhakika saivi anajutia tu... Polisi nao wanapaswa kuwa na weledi.

Nchi za wenzetu ukidakwa kwa hali kama hiyo..polisi wanakuamuru usiongee kitu kozi kitakugharimu baadae..

Bongo mtu hana fahamu kabisa polisi nao wanapandisha mizuka. WTF...
sio kila kichwa ni cha pombe[emoji23][emoji23]

vingine ni vya kubebea nywele kama dogo alivyobeba hiyo panki yake.

wahuni wakilewa comfidence inafika 740% kutoka 100% tunayoijua,hakimbii hata jini,huyu kagonga passo tu anakimbia.
 
Ulikosea Sana kushuka,Mimi wakinisimamisha nasimama mbele kidogo afu nasubiri wake,wakikaribia Ndio nafungua kioo, ukishuka kwenye gari ni ishara wanaona wao Ni wakubwa
hilo linakusaidia nini mkuu,ukute hata huwa hawafikirii unachowaza
mentality ya mtu asiyejiamini huwa ni kuvimba vimba kila sehemu[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Trust me,hakuna Polisi wa kufanya hivo,na hata wewe ungekuwa Polisi usingefanya hivo,nyie hamjui tu majeshi yanavoendeshwa

Hizo kubebwa juu juu Ni kina sisi tu, umpige mtoto wa Waziri ufukuzwe kazi ? Vyeo vya hao traffic vipo chini ya RPC so yeye Ndio Ana mamlaka ya kuwafukuza which means kutemeshwa kazi Ni fasta tu, Kwanza hapo lazima wafukuzwe kwa uzembe huu
mkuu wacha ramli,nenda hapo mataa ya kanisa st peters utawakuta traffic wote waliokuwepo eneo la tukio.

hao polisi wametumia akili nyingi sana,kama wangehemka dogo angechezea makwenzi.
 
Kumbe mtoto wa kiongozi barabara, akitenda makosa ya usalama barabarani, hatakiwi kuchukuliwa hatua, kwa maelezo yako hasa huku mwisho.
Inaonyesha hata wewe hukuwajibu vizuri ndiyo maana mlitofautiana, kwanza askari amekusimamisha nini ushuke ndani ya gari.
Alafu siamini kama siyo kauli yako mbovu, inayojivunia cheo, ama madaraka yako, askari mwenye uniform akutukane tu, ni kweli wapo askari ni wagumu, ila haifukii kumtukana mtu.

Tuache vyeo vyetu na madaraka mbele ya kazi za wenztu, omba msamaha askari wetu ni waelewa, watakuonya na kukuacha uendelee na safari.
cheo cha nyokwo,wenye vyeo wote wanajulikana na hawafanyagi upimbi.

hawa watoto,mashemeji na machwa wa viongozi kutwa kujichanganya kwenye kazi za watu.
 
Ni ngumu mno nakuhakikishia. Yaani mtoto wa bosi hahahah. Yaani hapo Mama mtu akisema tu sitaki mwanangu ateseke hao polisi watakoma. Unakumbuka yule traffic wa Mke wa Dkt Mahiga, unajua kilichomtokea??? Alijuta!
yule jamaa alipanda cheo kutoka cpl mpaka sajent kwa kauli ya rais moja kwa moja.

na kamanda aliyempigia simu ni huyu awadh CP mkuu wa OPP kwa sasa.
usisipende kusikiliza story za vijiweni kupita kiasi kuhusu watu usiowapenda.
 
Back
Top Bottom