The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Inaelekea ndivyo ilivyo .....!!Hapo waziri kaongea tu. Backdoor watamalizana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaelekea ndivyo ilivyo .....!!Hapo waziri kaongea tu. Backdoor watamalizana.
kwa lugha za kihuni namna hiyo halafu anasema yeye ni mtoto wa waziri[emoji28][emoji28][emoji28]Traffic wanamauzi hayajawakuta, Dogo Hongera kwa kuwa Chana hao waomba buku tano
wewe hata hujui unachoongea.This is Bongo mkuu. Hivi ulishawahi kujua wale traffic wanaowazinguaga madereva wa serikali kwa video huwa wanaishia wapi??? Hahahah huyo dogo kila atakaye mshughulikia be assured atapoteza cheo.
sio kila kichwa ni cha pombe[emoji23][emoji23]The poor kid is drunk guys...
Yes ! He might have behaved stupid..
But he is drunkk!! Maujinga haya ya tungi tunakumbana nayo sana. Hakutakiwa endelea hojiwa kwa hali hiyo..
Angeweza mtukana mpaka MaMa..
Nauhakika saivi anajutia tu... Polisi nao wanapaswa kuwa na weledi.
Nchi za wenzetu ukidakwa kwa hali kama hiyo..polisi wanakuamuru usiongee kitu kozi kitakugharimu baadae..
Bongo mtu hana fahamu kabisa polisi nao wanapandisha mizuka. WTF...
hilo linakusaidia nini mkuu,ukute hata huwa hawafikirii unachowazaUlikosea Sana kushuka,Mimi wakinisimamisha nasimama mbele kidogo afu nasubiri wake,wakikaribia Ndio nafungua kioo, ukishuka kwenye gari ni ishara wanaona wao Ni wakubwa
mkuu wacha ramli,nenda hapo mataa ya kanisa st peters utawakuta traffic wote waliokuwepo eneo la tukio.Trust me,hakuna Polisi wa kufanya hivo,na hata wewe ungekuwa Polisi usingefanya hivo,nyie hamjui tu majeshi yanavoendeshwa
Hizo kubebwa juu juu Ni kina sisi tu, umpige mtoto wa Waziri ufukuzwe kazi ? Vyeo vya hao traffic vipo chini ya RPC so yeye Ndio Ana mamlaka ya kuwafukuza which means kutemeshwa kazi Ni fasta tu, Kwanza hapo lazima wafukuzwe kwa uzembe huu
cheo cha nyokwo,wenye vyeo wote wanajulikana na hawafanyagi upimbi.Kumbe mtoto wa kiongozi barabara, akitenda makosa ya usalama barabarani, hatakiwi kuchukuliwa hatua, kwa maelezo yako hasa huku mwisho.
Inaonyesha hata wewe hukuwajibu vizuri ndiyo maana mlitofautiana, kwanza askari amekusimamisha nini ushuke ndani ya gari.
Alafu siamini kama siyo kauli yako mbovu, inayojivunia cheo, ama madaraka yako, askari mwenye uniform akutukane tu, ni kweli wapo askari ni wagumu, ila haifukii kumtukana mtu.
Tuache vyeo vyetu na madaraka mbele ya kazi za wenztu, omba msamaha askari wetu ni waelewa, watakuonya na kukuacha uendelee na safari.
yule jamaa alipanda cheo kutoka cpl mpaka sajent kwa kauli ya rais moja kwa moja.Ni ngumu mno nakuhakikishia. Yaani mtoto wa bosi hahahah. Yaani hapo Mama mtu akisema tu sitaki mwanangu ateseke hao polisi watakoma. Unakumbuka yule traffic wa Mke wa Dkt Mahiga, unajua kilichomtokea??? Alijuta!
Hahah, halafu kibaya sasa, toto limefanana na Simbachawene hadi aibu! Huwezi hata kukataa yani