Afrocentric view
JF-Expert Member
- Jun 19, 2022
- 1,374
- 2,280
KenyaDemokrasia iko wapi wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KenyaDemokrasia iko wapi wakuu
Kweli kabisaaaKamkashfu VIPI!?
Kasemaje kwani!?
Iko kutoa funzo kwa VIJANA tujue mwafaka!!tuandikaje kwenye forums!
🤣🤣🤣🤣🤣Bila nguvu ya umma wote mtaishia jela.
Ukimsema tu mwakatozo tayari kashifa
Matusi unayomtukana Lissu humu umesahau? Unajitoa ufahamu tu,:Lisu : Mama amefungua nchi sasa tuko huru.
Zito: Asante hali ya siasa ni nzuri mnoooooo, tuko huru kabisa kukosoa.
Wakati tunaonya kwamba mnawashangilia wachumia tumbo mlikuwa mnapinga na kutupuuza, haya jioneeni sasa.
Demokrasia gani hiyo ya kukashifiana? 😳Demokrasia iko wapi wakuu
Uhuru umepitilizaHaya mambo nilidhani yalizikwa Chato pamoja na baba mzazi wa Mambo haya
Wewe ujaribu 'Kukohoa' wakati mwanamke aliyejaaliwa maumbile anapita ndiyo utajua.Siku hizi wewe ufanye tu kosa lolote lile dhidi ya mwanamke hata likiwa ni la kawaida tu, kisha upelekwe mahakamani ukutane na hakimu mwanamke..... baba/ kaka utajuta..., nasema utajuuuuta kuifahamu hii nchi au hii dunia!!
Duh kumbe nikijani wenyewe kwa wenyewe.