MUTUYAMUNGU
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 1,825
- 4,374
Ukiionesha hapa utakuwa umesaidia kuisambaza, hivyo sheria haitakuacha salama kukutia hatiani na miaka 15 kukuhusu.Naona blah blah tupu bila kuonesha kashfa yenyewe.
Kwahiyo mahakamani haikutajwa pia kwasababu hilo gazeti limeandika taarifa kutokea mahakamani.Ukiionesha hapa utakuwa umesaidia kuisambaza, hivyo sheria haitakuacha salama kukutia hatiani na miaka 15 kukuhusu.
Tawala za kiafrika viongozi hawakashifiwi....Haya mambo nilidhani yalizikwa Chato pamoja na baba mzazi wa Mambo haya
Haha, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Atulie Sasa
Aliyefungwa kwa kosa kama hili kipindi cha Magu ni nani?Haya mambo nilidhani yalizikwa Chato pamoja na baba mzazi wa Mambo haya
hawakufungwa, walitupwa kwenye virobaAliyefungwa kwa kosa kama hili kipindi cha Magu ni nani?
Bora huyo kahifadhiwa sehemu salama, kipindi kile angekuwa amechanganyikana na takataka na kutupwa dampo.Aliyefungwa kwa kosa kama hili kipindi cha Magu ni nani?
Sio hivyo, kama jambo limesemwa kwenye mahakama ya wazi kama ushahidi, sio kosa kuripoti kama ilivyosemwa.Kwa hiyo unataka hiyo kashfa iandikwe tena humu; halafu? Kesi ianze tena?
Huyu sio m CCM ?
Halisemwi tena. LimeishaSio hivyo, kama jambo limesemwa kwenye mahakama ya wazi kama ushahidi, sio kosa kuripoti kama ilivyosemwa.
ChatoDemokrasia iko wapi wakuu
Kwahiyo hatuishitaki Tena serikali ya Magufuli kwa huu udikteta ama?Haya mambo ndio yanaofanya lema na lisu waendelee kula kuku ughaibuni ,Bongo tafuta hela ya bamia na unga endelea na mambo yako nahisi siasa zilizikwa mara ya mwisho uchaguzi wa edo