Simiyu: Wananchi wavamia Kituo cha Polisi wakidai kuna matukio mengi ya Watoto kupotea

Wewe usiandamane tutaandamana sisi tunaoipenda Tanganyika yetu.
 
TANZANIA nyumbu wana haki kuliko raia wake,manake kila mwaka nyumbu wanaandamana kutoka mbuga za ngorongoro kwenda maasai mara lakini polisi hawazuii, mdio kwaanza watalii wanamiminika kuja kuangalia!!!....pia twiga mmoja akiuwawa muuaji atasakwa popote pale na atapatikana ila raia akiuwawa hamana noma!!!!,,,alaf wakati wakujaamina MBWA wanapigana mande mwanzo mwisho ila raia tukipigana mande inakuwa nongwa!!! waiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!
 
Noma sana
 
Kweli aisee
Mtu anafwatisha mkumbo huko kenya watu wanakufa ila haitotokea huyo alie kufa kwenye maandamano kujengewa sanamu wala kuwekewa special day ya kumbukizi bali familia yako ndio itaomboleza up wafe na wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…