Simiyu: Wananchi wavamia Kituo cha Polisi wakidai kuna matukio mengi ya Watoto kupotea

Simiyu: Wananchi wavamia Kituo cha Polisi wakidai kuna matukio mengi ya Watoto kupotea

Wewe usiandamane tutaandamana sisi tunaoipenda Tanganyika yetu.
Kama kichwa Cha habari kinavyosema sitokuja kutoa miguu yangu kuingia barabarani kuandamana tanzania hii Ili ufe wengine waishi Jana Kuna jamaa KAPIGWA risasi kafa lamadi raia wanawakimbia polisi ndio ujue Tanzania usijifanye kielele aliyechomwa picha ya raisi mbeya Nate wameshazika Kuna mizee ambayo ilichezea maisha ujanani kwao Sasa hivi inawaambia vijana waandamane hicho kitu hakipo Kila nikiangalia Salio langu bank Hala unakuta mjinga mmoja humu mtandaoni anasema vijana tuingie barabarani kisa yeye ana njaa hua namuangalia nasemahivi kweli anaakili timamu Tanzania ni
 
Kama kichwa Cha habari kinavyosema sitokuja kutoa miguu yangu kuingia barabarani kuandamana tanzania hii Ili ufe wengine waishi Jana Kuna jamaa KAPIGWA risasi kafa lamadi raia wanawakimbia polisi ndio ujue Tanzania usijifanye kielele aliyechomwa picha ya raisi mbeya Nate wameshazika Kuna mizee ambayo ilichezea maisha ujanani kwao Sasa hivi inawaambia vijana waandamane hicho kitu hakipo Kila nikiangalia Salio langu bank Hala unakuta mjinga mmoja humu mtandaoni anasema vijana tuingie barabarani kisa yeye ana njaa hua namuangalia nasemahivi kweli anaakili timamu Tanzania ni ya kuandamana
TANZANIA nyumbu wana haki kuliko raia wake,manake kila mwaka nyumbu wanaandamana kutoka mbuga za ngorongoro kwenda maasai mara lakini polisi hawazuii, mdio kwaanza watalii wanamiminika kuja kuangalia!!!....pia twiga mmoja akiuwawa muuaji atasakwa popote pale na atapatikana ila raia akiuwawa hamana noma!!!!,,,alaf wakati wakujaamina MBWA wanapigana mande mwanzo mwisho ila raia tukipigana mande inakuwa nongwa!!! waiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!
 
TANZANIA nyumbu wana haki kuliko raia wake,manake kila mwaka nyumbu wanaandamana kutoka mbuka za ngorongoro kwenda maasai mara lakini polisi hawazuii, mdio kwaanza watalii wanamiminika kuja kuangalia!!!....pia twiga mmoja akiuwawa muuaji atasakwa popote pale na atapatikana ila raia akiuwawa hamana noma!!!!,,,alaf wakati wakujaamina MBWA wanapigana mande mwanzo mwisho ila raia tukipigana mande inakuwa nongwa!!! waiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!
Noma sana
 
Kweli aisee
Mtu anafwatisha mkumbo huko kenya watu wanakufa ila haitotokea huyo alie kufa kwenye maandamano kujengewa sanamu wala kuwekewa special day ya kumbukizi bali familia yako ndio itaomboleza up wafe na wao
 
Back
Top Bottom