Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
Kumbe Umeshaolewa pole Sanaa ndio maisha hayo 🤣🤣🤣Nlijua huna akili, kumbe huna akili kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe Umeshaolewa pole Sanaa ndio maisha hayo 🤣🤣🤣Nlijua huna akili, kumbe huna akili kabisa.
Wewe ni shoga duuh pole sana kumbe huna marinda aiseeUnahamasisha ushoga...!
Kama kichwa Cha habari kinavyosema sitokuja kutoa miguu yangu kuingia barabarani kuandamana tanzania hii Ili ufe wengine waishi Jana Kuna jamaa KAPIGWA risasi kafa lamadi raia wanawakimbia polisi ndio ujue Tanzania usijifanye kielele aliyechomwa picha ya raisi mbeya Nate wameshazika Kuna mizee ambayo ilichezea maisha ujanani kwao Sasa hivi inawaambia vijana waandamane hicho kitu hakipo Kila nikiangalia Salio langu bank Hala unakuta mjinga mmoja humu mtandaoni anasema vijana tuingie barabarani kisa yeye ana njaa hua namuangalia nasemahivi kweli anaakili timamu Tanzania ni
Acha maigizo wewe ni nyumbu muoga tuWewe usiandamane tutaandamana sisi tunaoipenda Tanganyika yetu.
TANZANIA nyumbu wana haki kuliko raia wake,manake kila mwaka nyumbu wanaandamana kutoka mbuga za ngorongoro kwenda maasai mara lakini polisi hawazuii, mdio kwaanza watalii wanamiminika kuja kuangalia!!!....pia twiga mmoja akiuwawa muuaji atasakwa popote pale na atapatikana ila raia akiuwawa hamana noma!!!!,,,alaf wakati wakujaamina MBWA wanapigana mande mwanzo mwisho ila raia tukipigana mande inakuwa nongwa!!! waiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!Kama kichwa Cha habari kinavyosema sitokuja kutoa miguu yangu kuingia barabarani kuandamana tanzania hii Ili ufe wengine waishi Jana Kuna jamaa KAPIGWA risasi kafa lamadi raia wanawakimbia polisi ndio ujue Tanzania usijifanye kielele aliyechomwa picha ya raisi mbeya Nate wameshazika Kuna mizee ambayo ilichezea maisha ujanani kwao Sasa hivi inawaambia vijana waandamane hicho kitu hakipo Kila nikiangalia Salio langu bank Hala unakuta mjinga mmoja humu mtandaoni anasema vijana tuingie barabarani kisa yeye ana njaa hua namuangalia nasemahivi kweli anaakili timamu Tanzania ni ya kuandamana
Noma sanaTANZANIA nyumbu wana haki kuliko raia wake,manake kila mwaka nyumbu wanaandamana kutoka mbuka za ngorongoro kwenda maasai mara lakini polisi hawazuii, mdio kwaanza watalii wanamiminika kuja kuangalia!!!....pia twiga mmoja akiuwawa muuaji atasakwa popote pale na atapatikana ila raia akiuwawa hamana noma!!!!,,,alaf wakati wakujaamina MBWA wanapigana mande mwanzo mwisho ila raia tukipigana mande inakuwa nongwa!!! waiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!!!
Kwani mnatawaliwa bado na wakoloni?Eti kuikomboa nchi
Ndio najiulizaKwani mnatawaliwa bado na wakoloni?
Kama mimi ni nyumbu muoga utaona nitakachofanya dhidi ya mkoloni wa kijani.Acha maigizo wewe ni nyumbu muoga tu
Angalien na familia zenuUkiyathamini sana maisha unaweza hata kuolewa.
Acha kuhamasisha uzembe, ukiwa dudumaji wewe inatosha. Usiishawishi jamii.Wewe ni shoga duuh pole sana kumbe huna marinda aisee
Kumbe unaliwa nyuma pole sana aisee dunia imeharibika mzee huna marindaAcha kuhamasisha uzembe, ukiwa dudumaji wewe inatosha. Usiishawishi jamii.
Kabla ujafanya ivyo angalia wangapi wanakutegemeaWewe usiandamane tutaandamana sisi tunaoipenda Tanganyika yetu.
Kweli aiseeKabla ujafanya ivyo angalia wangapi wanakutegemea
Achen huko marekan tu wenyewe kila mbuzi hula kwa urefu wakeNdio najiuliza
We jamaa ni comedian mzuri sana...MIMI NIKO TAYARI KUFA KWA MASLAHI YA WENGI. WEWE NI MAITI NARUDIA
Kwanini? (kabla sijakujibu)We jamaa ni comedian mzuri sana...
Mtu anafwatisha mkumbo huko kenya watu wanakufa ila haitotokea huyo alie kufa kwenye maandamano kujengewa sanamu wala kuwekewa special day ya kumbukizi bali familia yako ndio itaomboleza up wafe na waoKweli aisee