Afanye sherehe msibani, na hicho kibali alichokikalia akitumie yeye kuhama.Duh Apumzike kwa amani maisha haya sijui anajidillsikiaje huko alipo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Huu utaratibu wa magari yaliyoko kwenye msafara wa viongozi kuendeshwa kama yanaendeshwa na vichaa ufikia mahali ufe.
Hakuna wanapowahi zaidi ya kaburini tu halafu utasikia "ni mpango wa Mungu".
Stupid fools.
dah, hata honeymoon haijaisha vizuri1. Husna Mlanzi wa ITV
Madereva wa serikalini wanajionaga wana hati za maisha zisizokwisha...barabarani wanajikimbilia tu wanavyotaka yaani.Speed kills! Kawia ufike, wahenga walisema.
Umeniwahi kuuliza swali hilo, nakushukuru.Mkuu wa Mkoa wa Mwanza alikuwa na ziara Mkoa wa Simiyu?
Taarifa imesema RC wa Mwanza msafara huo ulikuwa ni wake, sasa nakunukuu "yuko njiani kuelekea eneo la tukio" tuamini lipi kwamba alikuwa kwenye msafara huo au hakuwemo? Kama msafara haukuwa wa kwake kwanini basi kwenye tukio asiende RC wa Simiyu ambaye tukio limetukia kwenye eneo lake?Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Robert Gabriel naye amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kusema yuko njiani kuelekea eneo la tukio.
Sijawahi kusikia Askari ameshitakiwa kwa kuvunja sheria za usalama barabarani japo tunawaona kila mara wakizivunja hadharani (Mlinda sheria anayetangulia kuvunja sheria), kama hamuamini basi katafuteni kwenye rekodi za Mahakama kama mtapata shauri kama hilo tangu nchi kuwa huru. Zipo scenario ambazo sheria za usalama barabarani zinaweza kuvunjwa e.g. Ambulance, Zimamoto, Misafara ya viongozi wa kitaifa na kimataifa, maandamano yanayopita barabarani yenye kibali halali.Hawajali hata barabara ya mwendokasi wanakatiza tu bila kujali kisa wamechukua silaha
Wanasiasa hawapendi kuona au kusoma kero (hawapendi ziripotiwe) wanapenda kuona au kusoma habari zenye matokeo chanya tu ya kazi zao.Ajabu waandishi wa habari wanabebwa kama magunia na kupewa vibahasha vya posho ya mboga ilimradi tu wakaripoti habari kumpaisha mwanasiasa.. waandishi wa habari mjitathmini...kutwa kikimbilia kwenda kuripoti matukio ya wanasiasa na huku mtaani matukio ya wananchi, kero na maoni kuhusu serikali yao yamejaa ila hamuendi..
Inawezekana kulikuwa na mvutano kati marehemu na Mkurugenzi na hivyo kuamua kutomshirikisha kuhusu kutaka kuhama. Mkurugenzi kuona hajashirikishwa akaamua kutompa ushirikiano marehemu na hivyo kuhisi kama ilikuwa ni insubordination kwa Mkurugenzi which is not the case!!Afanye sherehe msibani, na hicho kibali alichokikalia akitumie yeye kuhama.
Na nasikia amekalia vibali vya watumishi wengine wa hiyo halmashauri.
Yani mtu kakamilisha michakato yote, tamisemi wamempa go ahead hama na kibali wamekituma halmashauri, Mkurugenzi anagoma kusaini na kumpa afunge taarifa ahame.
Inauma.
Sema inawezekana nyuma ya pazia wanaambiwa wasitoe uhamisho izi maswala ya serikali kuna mengi sanaAfanye sherehe msibani, na hicho kibali alichokikalia akitumie yeye kuhama.
Na nasikia amekalia vibali vya watumishi wengine wa hiyo halmashauri.
Yani mtu kakamilisha michakato yote, tamisemi wamempa go ahead hama na kibali wamekituma halmashauri, Mkurugenzi anagoma kusaini na kumpa afunge taarifa ahame.
Inauma.
Halafuwangeandika Nini?Kuwa Mwafrika ni tatizo, hivi kuna haja gani mkuu wa mkoa kutembea na wanahabari wengi kiasi hichi?
Hao 6 ndio waliofariki, je waliopona na waliofariki jumla ya waandishi wa habari walikuwa wangapi?
Daaaah yaniiR.I.P Husna Mlanzi