Simiyu: Watu 14 wafariki dunia kwenye ajali katika msafara wa Mkuu wa Mkoa Mwanza

Ni kweli kabisa, hapo Kuna watu wamegeuzwa sadaka hyo mendokasi ni kisingizio tu nakumbuka Kuna mtu alianzisha Uzi jinsi walivokuwaga wanasababisha ajali huku watu tukisingizia mwendokasi
Tarehe 11 January na watu 11 on the sport kuchinjwa then unaongeza 3 ili kupata 14 ambayo ni 1+4 unapata 5 ambayo Pentagon kwa elimu ya namba (numerology) ina maana sana.
Connect dots na September 11, 2001 au 11.03.2011 Tsunami iliyoua maelfu Japan.
Yaani 5+6=11
Watano kwenye gari hili na Sita kwenye hilo, perfect masonic numbers
 
Kamwe usilinganishe usalama wa Marekani na vitu vya ajabu ajabu vya kupikia majungu.
 
Hayo ma-STJ yasivyozingatia sheria barabarani hiki kinachotokea hakishangazi.
 
Baada ya kufa kapatikana mfanyakazi mbadala????

Acheni kutetea vitu vya hovyo.

Nani asyejua Tanzania kila mtu anataka aabudiwe na kupigiwa magoti kila siku???

Makurugenzi mengi ni ya hovyo kabisa, yana roho mbaya kuliko maelezo.

Kila kona ya nchi yanalalamikiwa hayo majitu.
 
Dah...mbona imeandikwa wazi kabisa "akiwa ziarani Simiyu".. .rudia kusoma Uzi wa misingi....Kisha urejee utetezi wako 🤣🤣🤭
 

You watching too much movies man!
 
Sasa mtumishi ambaye mkurugenzi kaona hamuheshimu anakiuka hierarchy si ni vizuri angemuachia aondoke ili aliondoe kabisa tatizo.. watu wa chini wanapambania maisha yao ila wanakwamishwa na wajinga wachache wenye nyadhifa za koneksheni na ukada ambao tayari wao wameshapiga hatua
 
Magari ya serikali wanajiona kama wao ndiyo wana mamlaka wao wakuu juu ya sheria
Kwenye matumizi ya barabara


Ova
Wakulaumiwa Ni huyo kiongozi.
Speed ya magari unaiona lkn uko kimya tu hukemei.
Mkuu wa mkoa angemuambia dereva wake apunguze spidi hakuna mtu ambaye Ange overtake gari la mkuu. Lkn mkuu mwenyewe yupoyupo tu anataka kuwahi. Sijui alichelewa wapi.
 
Na wala hakuruka hatua, mchakato aliuanza wakati huo mkurugenzi ni mwingine, kibali kimefika wakati huyu mkurugenzi wa sasa ndo amefika, na amegoma kukitoa...na sio huyu marehemu (naumia kutumia hili jina) peke yake, kuna wengine pia vibali vyao viko kwa huyo mkurugenzi.
 
Sasa jitu limelamba nyadhifa kwa koneksheni na ukada kwanini lisiwe kibri na hulka ya kiMungu mtu.. wengi ni maSADIST.. heartless mo....kers
 
Wanatulazimisha kuwaombea dua mbaya hawa watu, Wana roho mbaya sana...sasa na hivyo vibali vingine mfano walimu nao hakuna mbadala?
Yani kuna muda tunawaza angekuwa kashapewa kibali kaondoka labda asingekutana na hii ajali zembe....
Mkurugenzi hii damu ya huyu kijana will haunt you...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…