Simpendi Rais Samia ila yawezekana Akitokea mtu akaniambia alichofanya cha maana Tangu aingie Madarakani naweza kubadili mawazo nikampenda

Khaaaaa unaandika babu....
 
Ngoja waje [mention]chawa wa mama [/mention] na bibi mdogo [mention]FaizaFoxy [/mention] wakurarue vizuriiii
 
Magufuli ameacha Mamiradi kibao ikiwa haijakamilika kama Mama angekua na roho mbaya angeipiga chini yote akaanzisha ya kwake,, lakini Mama kakomaa nayo mwanzo mwisho na ndio maana halisi ya "Kazi iendelee" 2025 tutakapo mchagua tena ndio atatuonyesha yalio yake,, sina shaka na Mama Samia

Anaupiga mwingi,,, tatizo team Msoga
 
Kwakweli ameboresha sana sekta ya kilimo,ametuheshimisha na Kwa Sasa kilimo ni biashara na mi ajira.bei nzuri za mazao + ruzuku za pembejeo
 
Amefanya mazuri in negative way
1: Ndege imekamatwa
2: Bendera ya Taifa inapepea dubai kwenye jengo refu, haijulikani nani analipa gharama
3: kumfungulia mbowe kesi ya ugaidi
4: Kumfungulia Dr Slaa na Mwambugusi kesi ya uhaini
5: Dola na petrol kukosekana nchini
 
Yaani humuoni amevaa hijab?
 
Kwakweli ameboresha sana sekta ya kilimo,ametuheshimisha na Kwa Sasa kilimo ni biashara na mi ajira.bei nzuri za mazao + ruzuku za pembejeo
SIDHANI KAMA UNA AKILI TIMAMU
 
HIYO MIRADI ALIYOIKAMILISHA NI IPI?
 
Kwa Sisi wengine KUPENDA ni Amri ya Mungu wa Mbinguni aliyoyupa. Hamna mbadala wake. "MPENDE BWANA Mungu Wako na ya pili inafanana na hii Mpende Jirani yako.
Jirani wa nyooooooooko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…