Simu ya mpenzi wako kuwa Bize usiku mnaitafsiri vipi wakuu?

Heeeee, unasema kweli au unachangamsha genge humu Markomx
Mkuu ukiona mtu ana hasira jua kunakitu,nilichojifunza punguza kujifanya wewe ndio msaada sana some time mtu akiwa maskini inakua rahisi kumtawala
 
Bora kutauta pesa kama ndo hivo.
 
nilikua na huu mtindo wa kuongea na simu usiku na mashost zangu maana mchana tunakuwa na heka heka (japo sio kila siku) nikapewa warning moja na Edo kissy niliacha wan taim πŸ€­πŸ™ƒ,,,

fanya kumuelekeza mwambie haupendezwi na yeye kutumika usiku kwa mda mrefu,, kama anakuheshimu ataacha ila kama unaforce hautoona mabadiliko kutoka kwake
 
Submissive oneπŸ«₯
Nipigie mda huu chapπŸ€­πŸ™ŒπŸΎ
 
Kubabake AMKA USINGIZINI MKUU,

KWAMBA MAPENZI NI UFALA KIASI HIKI🀣🀣🀣🀣

WACHA MUUMIZWE TU, MANIGGA
 
Kataa kuwa option
 
Mshirikishe kwanza, umsikie anasemeje, sababu atayo kupa litakia jibu sahihi kabla ya ushauri humu, mana hujasema ye kakwambia anakia wapo na ana Fanya Nini? akujibu kwanza yeye ndo uje humu na jibu ulopewa inakua simpoo zaidi ya hapo, tunabashiri tu bila kujua tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…