SIMULIZI: Nilipata nafasi ya kuongea na Gurus wawili wenye mitizamo miwili tofauti kuhusu Kuzaliwa, Kifo na uwepo wa Mungu pamoja na Dini

Sina kazi now boss naomba nitumie hicho kitabu naomba kaka au toa title tu mzee

Nakufuata dm kama vipi kaka 😁 tuongee biashara
 
Yan Wewe ndo umeongea 🙌
 
kali linux unaongelea mambo mazuri na makubwa sana kwa wanadamu. Ningependa kusikia zaidi kuhusu namna ya kuondokana na kukataliwa au kushindwa mara kwa mara katika jambo. Sitajali ukini DM kwa maelezo zaidi.
 
Kwa hiyo tuwe tunatembea na vipande vya sumaku Ili kupata hiyo energy
 
Huu uzi namba uendelee mtoa mada siku ukiendelea ni tag pia Mwenyezi Mungu mwenye nguvu alie iumba dunia na vyote vilivyomo vyenye mwili na visivyo na mwili vyenye kuonekana na visivyoonekana akubariki sana akupe kila hitaji lako umuombalo uweze kufanikiwa kwa wakati barikiwa sana saana saana kama huto jali nipe jina la kitabu chochote mie nitakiweka hapa hata kama ni pdf nitaipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…