Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

Simulizi ya Safari yangu ya kupanda Mlima Kilimanjaro

Kwenye story zake Kuna mahali ameeleza kuwa alitamani kumpigia simu jamaa yake kuwa Hali yake Ni tete ...kwa hiyo kuwa makini nchi Ina mwenyewe mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu acha kukatisha watu tamaa, Unakuwa kama Mwenyekiti wa Chama fulani. Kuna kugombana kuna kifo nk. Acha mtu ajaribu bahati yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukitaka ufaidi, fuata taratibu zao tu, hata kama unajisikia bado una nguvu, usiongeze mwendo, nenda taraibu kwa kasi ile ile.
Tulipofika Lava Tower ndio tumbo lilianza kuvuruga na kukumbuka kwamba chakula kikiingia kinatakiwa kitoke kwenye mwili.

Vile vile siku ya mwisho inabidi kujitahidi kupata chakula cha kutosha, hata kama haujisikii kula na mara zote hamu ya kula inakosekana kabisa. Ile ni siku ngumu kuliko zote. Mnaanza safari saa tano usiku, mtafika kileleni kwenye saa mbili asubuhi (kutokana na ukubwa wa kundi lenu). Mkifika huko mnaanza kushuka hadi pale mlipolala, mnakula na kuanza safari ya kuja kulala kituo cha chini. Unaweza kuona siku nzima ni harakati tupu.

Lakini pamoja na shida zote, asikudanganye mtu, kileleni kuzuri sana. Ukifika unasahau shida na taabu zote. Nilichukua JIWE kule juu kama kumbu kumbu, lakini lile JIWE liko tofauti na Jiwe la Dar es Salaam.
Jiwe la dar - es - salaam....! ??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye story zake Kuna mahali ameeleza kuwa alitamani kumpigia simu jamaa yake kuwa Hali yake Ni tete ...kwa hiyo kuwa makini nchi Ina mwenyewe mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app

Hahahahaaaa

Baba Mandela kapigiwa ndio huyu mwenzangu na mie!

Hahahahaahaha

Nilikua natania tu mkuu....Za huku kitaa zinanitosha mkuu!

Hahahaaaaa
 
Njia ya Machame sina hamu nayo kabisa, vyoo vibovu, mnalala kwenye mahema tu, hakuna kuoga, mnajifuta na tishu tu zile za watoto (Whipes). Mnatumia siku nyingi kuliko wanaopita Marangu.

Uzuri wa kule mambo ya jinsia hayana nafasi, tofauti kati ya mwanamke na mwanaume haipo. Mnaweza kulala hema moja na mwanamke wala usiwe na habari kabisa.
Mkuu na lile baridi kweli unaweza usiwe na habari nae, nadhani utakuwa umeamua tu kutufurahisha humu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilitoboa japo kwa taabu sana, nilipofika kituo cha stella whether ikanigomea kabisa nikashauriwa kurudi....
Jiwe la kubusu sitalisahau, nilimkumbuka mtoto wangu wa miaka minne niliyemuacha home chozi likanitoka[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Sent using Jamii Forums mobile app
1546274374016.png


Route ya Machame ndiyo njia ngumu sana hapa ni lazima ubusu mawe
 
Back
Top Bottom