stephot
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 17,216
- 26,225
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu acha kukatisha watu tamaa, Unakuwa kama Mwenyekiti wa Chama fulani. Kuna kugombana kuna kifo nk. Acha mtu ajaribu bahati yake.Kwenye story zake Kuna mahali ameeleza kuwa alitamani kumpigia simu jamaa yake kuwa Hali yake Ni tete ...kwa hiyo kuwa makini nchi Ina mwenyewe mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahha wanaiita Southern Circuit, hapo unaiona Summit like in 3D na Kibo na Mawenzi inaonekana uzuri kabisa.Barafu mkifika hiyo saa kumi kumi na moja mnakula then mnaambiwa mlale, safari ya summit inaanza saa tano usiku
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah.....Hahahahahha wanaiita Southern Circuit, hapo unaiona Summit like in 3D na Kibo na Mawenzi inaonekana uzuri kabisa.
So epically aisee..
Jiwe la dar - es - salaam....! ??Ukitaka ufaidi, fuata taratibu zao tu, hata kama unajisikia bado una nguvu, usiongeze mwendo, nenda taraibu kwa kasi ile ile.
Tulipofika Lava Tower ndio tumbo lilianza kuvuruga na kukumbuka kwamba chakula kikiingia kinatakiwa kitoke kwenye mwili.
Vile vile siku ya mwisho inabidi kujitahidi kupata chakula cha kutosha, hata kama haujisikii kula na mara zote hamu ya kula inakosekana kabisa. Ile ni siku ngumu kuliko zote. Mnaanza safari saa tano usiku, mtafika kileleni kwenye saa mbili asubuhi (kutokana na ukubwa wa kundi lenu). Mkifika huko mnaanza kushuka hadi pale mlipolala, mnakula na kuanza safari ya kuja kulala kituo cha chini. Unaweza kuona siku nzima ni harakati tupu.
Lakini pamoja na shida zote, asikudanganye mtu, kileleni kuzuri sana. Ukifika unasahau shida na taabu zote. Nilichukua JIWE kule juu kama kumbu kumbu, lakini lile JIWE liko tofauti na Jiwe la Dar es Salaam.
Kwenye story zake Kuna mahali ameeleza kuwa alitamani kumpigia simu jamaa yake kuwa Hali yake Ni tete ...kwa hiyo kuwa makini nchi Ina mwenyewe mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye story zake Kuna mahali ameeleza kuwa alitamani kumpigia simu jamaa yake kuwa Hali yake Ni tete ...kwa hiyo kuwa makini nchi Ina mwenyewe mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu na lile baridi kweli unaweza usiwe na habari nae, nadhani utakuwa umeamua tu kutufurahisha humuNjia ya Machame sina hamu nayo kabisa, vyoo vibovu, mnalala kwenye mahema tu, hakuna kuoga, mnajifuta na tishu tu zile za watoto (Whipes). Mnatumia siku nyingi kuliko wanaopita Marangu.
Uzuri wa kule mambo ya jinsia hayana nafasi, tofauti kati ya mwanamke na mwanaume haipo. Mnaweza kulala hema moja na mwanamke wala usiwe na habari kabisa.
Nilitoboa japo kwa taabu sana, nilipofika kituo cha stella whether ikanigomea kabisa nikashauriwa kurudi....
Jiwe la kubusu sitalisahau, nilimkumbuka mtoto wangu wa miaka minne niliyemuacha home chozi likanitoka[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kilele gani hiko hiki cha HOE anachotusimulia au[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unataka twende lini[emoji23][emoji23][emoji23] mie kileleni nafika..ni ww tu na uanze mazoez mapeeema[emoji91]