Simuungi tena mkono Rais Samia kwa haya yanayoendelea na kadhia ya Mafuta

ChoiceVariable FaizaFoxy Mohamed Said chawa wa mama Lucas mwashambwa paschal Mayala njoeni huku machadema na Muslim phobes Yana mpinga mama
 
Kwa upande wa U Rais, wanawake hapana, sikubaliani kabisa.
Rais Samia amekidhi matarajio ya wananchi ndio maana Anaendelea kuaminiwa na kuaminika kwa watanzania,ndio maana Taifa linaendelea kutamalaki kwa utulivu na amani.hiyo ni kazi ya Rais samia,ni mikono ya Rais samia,ni juhudi za Rais samia ndio zimetufanya kufika hapa tulipo kimaendeleo,mahali tunapopigiwa mifano na kupongezwa na Taasisi kubwa za kimataifa kama WB na IMF juu ya ukuaji wa uchumi wetu. Mahali ambapo sasa demokrasia yetu imechanua vyema na kuheshimika kimataifa,ni samia mama yetu aliyeliheshimisha Taifa letu kimataifa.
 
“hili nalo mkalitizame” ni kauli moja isiyo na mantiki kabisa. Haina mamlaka, haitoei maelekezo yoyote ya msingi. Sasa wakishalitazama halafu? Moja ya vitu vilivyochangia kutufikisha hapa.
Moja ya kauli ya kidwanzi sana
 
Nakuona unatumia akili ya mbuni akiona hatari anaficha kichwa kwenye mchanga anadhani atakuwa salama hatari itapita tu.
Anahisi haonekani mwili wote kumbe yeye ndiyo haoni wala hasikii kinachoendelea kaficha macho na masikio.
Endelea kumpaka mafuta kwa mgongo wachupa.
Kura ya mtu mmoja mmoja kwa ujumla wake ndiyo unapata kura nyingi za kukupatia ushindi, endelea kumdharau mleta mada .
 
Kama Magufuli alivyokuwa anajaribiwa kwenye sukari Samia anajaribiwa kwenye mafuta ukweli ni kwamba nchi haitawaliki katiba ni nzuri lakini Samia hatumikii mamlaka yake kikamilifu ana hofu ya ushirikina na kulogwa
 
ChoiceVariable FaizaFoxy Mohamed Said chawa wa mama Lucas mwashambwa paschal Mayala njoeni huku machadema na Muslim phobes Yana mpinga mama
Ni kichaa na mwendawazimu pekee anayeweza kutomuunga mkono mh Rais.watanzania wenye akili Timamu wapo upande wa Rais samia na wanaendelea kumuunga mkono,kwa kuwa wanatambua juhudi za Rais samia.wameona hatua kubwa za kimaendeleo tulizopiga kama Taifa na mafanikio makubwa tuliyoyapata chini ya uongozi wake shupavu na madhubuti ulioleta matumaini kwa watanzania.
 
Umechelewa sana kuni mention.

Mwambie huyo sukuma gang stake huokoa wale wenye Kituo Kimoja tuu Cha mafuta
Wenzako akina jingalao TumainiEl and get al walijiyoa sana ufahamu kama wewe unavyojitoa sasa,

Waulize Kwa sasa wapo wapi?

Nakupa miaka mitatu utakuwa unasugua benchi,ukiuponda utawala mpya
 
Hivi ikatokea labda akawa RIP ikajitokeza chance ya kumsindikiza kaburini je unaweza kujitolea kukaa nae kwa grave?Maana unasema utakuwa naye hadi mwisho.
 
Muulize TumainiEl ,enzi za JPM mpaka alimtishia kumuua Beni Saanane,ila Leo anasugua tako

Na wewe nakupa miaka mitatu tu,utakuwa unauponda uongozi mpya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…