Simuungi tena mkono Rais Samia kwa haya yanayoendelea na kadhia ya Mafuta

IBARA 4 (2) ya mkataba wa Kimangungo inasema, Tanzania inapotaka kuweka mwekezaji mwingine maeneo mengine ya bandari inatakiwa iende Dubai kuomba ridhaa, Dubai wakikataa kutoa idhini, ndio basi. Yaani twende Dubai kuomba ridhaa kwa Mali zetu? Huu ujinga ubaki CCM na Dubai.
 
Ongera sana
 
CCM pamoja na kuiba kura, haijawahi teua mgombea asokubalika.

Akilazimisha kugombea, kitu itaenda upinzani.

Hivyo kuliko kupoteza vyote, CCCM itabadili mgombea baada ya mchujo.

Hadi sasa, hesabu zote za kisiasa zinasoma,

HATOGOMBEA!!!!!
 
nyie nyote nahao wenzako hamna akili. waulize watoto wao wanalipa ada? waulize kama watoto wao wapo chuo boom wanapata. ? waulize hakuna hata mmoja ambae mwanae au ndugu yeyote kapata ajira? au waulize nilini nchi hii changamoto zilishaishaga? wakumbushe sakata la sukar kipindi cha jpm . au kauli ya vyuma vimekaza ilikuwa na maana gani?
 
Duh yaani wewe hadi umeguswa ndio unaona hatuna kitu hapo? Hapo hamna kitu. Kuna mchumia tumbo tu. Anachojua ni kupiga dili tu .
 
Cdm tulisha sema kuwa chini ya utawala wa ccm itafika muda watanzania wote turazungumza lugha moja kwa ccm haitufai.
Nataka kujua Ile ngozi ya mnyama iliyokamatwa Australia ilitorishwaje kutoka nchini, na nani alimuwinda mnyama yule.
 
Ni Rais au CCM? Unapaswa Kuwa makini kweli usiingie kwenye mtego wa hidden agenda
 
RIpoti ya CAG imefungiwa kabatini
Mikataba 38 ya siri, mmojq umevuja nchi nzimq hekaheka.
Katiba inasiginwa
Inflation ipo juu kiwango cha kutisha
Rushwa kipindi cha uchaguzi
Elimu haina ubora


Huyu rais hatufai. Amalize muda wake apumzike
 
CCM pamoja na kuiba kura, haijawahi teua mgombea asokubalika.

Akilazimisha kugombea, kitu itaenda upinzani.

Hivyo kuliko kupoteza vyote, CCCM itabadili mgombea baada ya mchujo.

Hadi sasa, hesabu zote za kisiasa zinasoma,

HATOGOMBEA!!!!!
Rais samia Ndio chaguo letu hadi 2030.
 
Sema tu hana uwezo wa kusimamia .acha kumsugarcoat
Uwezo anao Hila anaowasimamia ndo vibuli wameamua makusudi kutosimamiwa Sasa atakuwa anabadili watendaji mbaka lini katiba ingekua inaruhusu angechagua watendaji kutoka vyama vingine wangemsaidia sana
 
Nafasi ya rais na waziri mkuu zibakie kwa wanaume tu!
 
Ndiye chaguo la Mungu aliyeinuliwa na Mungu kwa mkono wake ndio maana Anaendelea kuungwa mkono na kupendwa na mamilioni ya watanzania.
Hata mfalme Sauli wa Israel alichaguliwa na Mungu. Lakini sote tunajua alivyokuja kuwa mlaanifu.

Endelea kujidanganya
 
CCM pamoja na kuiba kura, haijawahi teua mgombea asokubalika.

Akilazimisha kugombea, kitu itaenda upinzani.

Hivyo kuliko kupoteza vyote, CCCM itabadili mgombea baada ya mchujo.

Hadi sasa, hesabu zote za kisiasa zinasoma,

HATOGOMBEA!!
Wakimuweka kugombea ndio itakua mwisho wa ccm kuongoza nchi hii.
Inavyoonekana kuna dili la kuitoa ccm kupitia kwake. Huenda akatumika na maadui kuhakikisha ccm inatoka. Kwa hivyo ni muhimu wanaccm kwa ujumla kuhakikisha hagombei badala yake awe mtu anakubalika na umma wa wananchi.
 
Mbona ladies wapo Tu wasio shikiwa remote sehemu nyingine kuna Yule WA Bukoba na Yule WA Ukerewe kuna WA Njombe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…