Simuungi tena mkono Rais Samia kwa haya yanayoendelea na kadhia ya Mafuta

Uwezo anao Hila anaowasimamia ndo vibuli wameamua makusudi kutosimamiwa Sasa atakuwa anabadili watendaji mbaka lini katiba ingekua inaruhusu angechagua watendaji kutoka vyama vingine wangemsaidia sana
Huwezi kuleta kiburi kwa mtu ambaye unajua atakuwajibisha kama wana viburi manake wanajua hawezi kuwafanya chochote. Na ndicho kinatokea anaishia tu kusema mwende mkalitizame mara anawaonea haya wazee waliomzidi umri sasa kuna kiongozi tena hapo na hili alisema mwenyewe
 
Tukiwaambia huyo ana akili nyepesi mno kukalia kiti kikubwa mtuelewe sasa. Huyo ni bibi tayari mwepesi kama kipepeo
 
sawasawa mwijaku kwenye ubora wako, hata wewe tunapaswa kukutazama pia!
 
Mbwawashamba
 
Taja jina lako, namba ya simu na sehemu ulipo ili tukukumbuke kwenye teuzi
 
ni vema na heri yako ulieamua mapepama sana.

Kuunga mkono au kuto kuunga mkono mtua au jambo fulani ni uamuzi wako.

Kuchagua au kuto chagua inabaki linabaki pia kua haki na hiari yako binafsi.

Kutokua na msimamo ni kitu mbaya sana.

 
Tukiwaambia huyo ana akili nyepesi mno kukalia kiti kikubwa mtuelewe sasa. Huyo ni bibi tayari mwepesi kama kipepeo
Sikiliza wewe usiye na adabu walaa akili kichwani mwako. Rais Samia Ni Akili kubwa ndio maana tumefanikiwa kupata maendeleo na mafanikio katika kila Eneo na kila secta. Ni kwa akili kubwa ya Rais samia leo hii wakulima wanajivunia kuwa wakulima baada ya kukipa uhai kilimo. Leo hii huduma za afya ,elimu ,maji , miundombinu ni bora kutokana na akili kubwa na maono aliyonayo Rais samia
 
Mhe. Rais hana tatizo inawezekana ana washauri wabaya. Anatakiwa ajue hilo. Atumie msemo wa Mhe. Kikwete "kila unaloambiwa changanya na ya kwako".
 
2025 twende na Ndugai, atatusogeza. Kwa upande wa wapinzani hapo asimame Lissu, ingawa atashindwa kwa kura chache, ila walau ujumbe utakuwa umewafikia wenye chama tawala cha sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…