Simuungi tena mkono Rais Samia kwa haya yanayoendelea na kadhia ya Mafuta

We mpuuzi sana yani huoni shida wanazopata wananchi. Mkoa wa Mara mpaka boda boda kauliwa kwa hii issue ya mafuta.
Tatizo watanzania mna wivu sana. Yaani wivu unawasumbua. Hivi huyo aliyesema eti mtu kauawa kwa ajili ya mafuta hivi unadhani ni kweli???? Ni wivu tu unawasumbua. Muache wivu! Rais Dkt Samia kafungulia uchumi mambo safi kabisa!
 
Sawa ndugu chawa....
 
Umesahau kuweka namba
 
Safi kabisa, go mama Samia goooo!!!
 
Kitu umesahau ni kuweka no za sim tuu
 
Huyu mama mimi nilimshangaa juzi wakati akifungua mkutano mkuu wa maofisa wa polisi.

Pasi na aibu wala kujitambua kuwa yeye ni Rais mama huyu anasema imebidi wastaafu walipwe kikokotoo eti kwa sababu mifugo ya malipo ya pension haina pesa ya kutosha kulipa pension kwa mkupuo. Yaani unaamua kuwatoa kafara wastaafu kwa makusudi kwa kisingizio kwamba mifuko haina pesa ya kutosha!!

Ni kauli ambayo haikutakiwa kutolewa na Rais
 
Wafanyabiashara wanatuchezea serikali ipo! Sijui Mama anamuogopa nani? Hata issue ya DP World nahisi ni uoga tu lakini ni jambo la kijinga lililohitaji kauli moja ya kiume maisha yaende.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…