mkuu nakubaliana na wewe kwny 1,2 na 3 zingine sina uhakika lkn pia umesahau kuwapa sifa yao nyingine ambayo mimi naiona ni sifa kuu ya msingi inayotutofautisha na sisi TZ, wenzetu wanauthubutu mkubwa klko sisi bado tumelala. Basi na tuwape credit ktk hili la uthubutu.
😄😄😄😄 Uko sawa kabisa mkuu.Waganda wameambukizwa na majirani zao wakina Rweyemamu, Rutashobya😜😜
Baada ya kujiunga na JF, nilikutana na chuki balaa kwa Wakenya. Tunaitwa wanyang'anyi, manyang'au etc. Nikaamua isiwe shida, acha nijiite Mkenya mwenye tamaa.ID yako mtu mkuu, hahaha!
Kabisa waganda wanapenda sana sifa kila kizuri kiko Uganda na hawapendi ku appreciate kitu kizuri cha mtu ila cha kwao ndicho kizuri lakini unakuta pia uwezo wao mdogo tu hata kazini na hata ukienda Uganda hakuna maendeleo ya maana sana. Wakenya ni wapigaji sana hasa wakiwa wamepewa nafasi muhimu, wabinafsi sana pia wanatabia ya kupenda sana sifa. Ukitaka kuishi nao hawa hakikisha hawajui lolote juu ya maisha yako binafsi na mipango yako kwa ujumlaWaganda wameambukizwa na majirani zao wakina Rweyemamu, Rutashobya😜😜
Huwa hawataki mazoea... hata maisha yao ya upangaji kila mtu anapambana na hali yake...😄😄😄😄 Uko sawa kabisa mkuu.
We unawajua vzr Sana mkuu,ndio Maisha yao kabisa hayo.Huwa hawataki mazoea... hata maisha yao ya upangaji kila mtu anapambana na hali yake...
ukienda marekan leo hii kuna watu hawana chakula na hata pakulala. lakin haimaanish tuko sawa chief. mimi ni mtz na nimebahatika kusafir nchi nyingi mno. cc malengo yetu ni madogo mno. ya mtz wa kawaida akipataWamekuacha kwenye kipi? View attachment 1918864
Nilikaribishwa kwenye nyumba moja ya waganda huko Uganda, yaani hiko chakula ni ndizi wanazifinyanga finyanga inageuka kuwa kama ugali, halafu hizo kuku sasa wanajaza na binzari za kutosha, pale mezani msosi umefunikwa na majani ya migomba, asee nilipakumbuka nyumbani...We unawajua vzr Sana mkuu,ndio Maisha yao kabisa hayo.
Mkuu Kenya chakula ni ghali na hawana chakula kama Tz, ukibisha na hilo sijui utakuwa na malengo gani...ukienda marekan leo hii kuna watu hawana chakula na hata pakulala. lakin haimaanish tuko sawa chief. mimi ni mtz na nimebahatika kusafir nchi nyingi mno. cc malengo yetu ni madogo mno. ya mtz wa kawaida akipata
nyumba gar na mke na mshahara kinachofuata ni matumiz. hatujui kujenga uchumi endelevu. hatuko serious na maisha kabisa. na ukiwa serious unaonekana unaringa roho mbaya n so on. hlo la watoto kushinda njaa lipo nch nying hata bonden lipo sana. unajua ukijua ukweli unajifunza na ukipinga ukweli haimaanisha utaubadilisha zaid sana unachelewa. nimetolea mfano wa soko la hisa Nairobi na Dar ni kifo n. usingz
Hao wahamiaji...Wakenya wapo kama wazanzibar. ogopa kuwa rafiki na mzanzibar ukamtegemea kwa jambo lolote
Hivi wewe ni mwanaume unayetumia ID ya kike au wewe ni mwanamke mkuu?!Majirani zao hao.
cjasema wanachakula kama cc bab. nachokuambia mkenya katuacha mbali. nenda popote utakuta mkenya kaajiriwa na hyo ni sabab za kihistoria. hawa jamaa Muingereza aliwekeza kwao zaid kuliko hapa kwetu. wana muingiliano mkubwa na dunia kupita cc. na wameish kwenye capitalisim cku zote. ngoja nikupe mfano mdogo.Mkuu Kenya chakula ni ghali na hawana chakula kama Tz, ukibisha na hilo sijui utakuwa na malengo gani...
Suala la gari mke na nyumba inapaswa ujizungumzie wewe si ujumuishe wa Tanzania wote... huniambii kitu kuhusu wa Kenya
Nilikamatwa na polisi fulani Kenya Nairobi kisa sina barakoa, ile nilipoongea tu, akanambia we ni mTanzania? nikamwambia ndio, alikuwa na afande wenzake akaongea kwa kejeli Tanzania hio nchi ya masikini... asee binafsi nilijisikia vibaya sana... kwa sababu afande mwenyewe alikuwa na asili ya kisomali nilimjibu Unazungumzia Tanzania ama Somalia? jamaa alikasirika sana, long story short niliwapa hongo na kuniachia kwa mbinde...
wa Kenya wengi hawawaongelei wa Tz vizuri, wanawaona kama nyanya mbovu, kama watu ambao hawajaelimika, hata kama wapo humu wasome mimi si mnafiki... waache unafiki...
Hivi kwa nini unataka kujumuisha watanzania wote, unafikiri kila mtu ana fikra duni kama wewe?cjasema wanachakula kama cc bab. nachokuambia mkenya katuacha mbali. nenda popote utakuta mkenya kaajiriwa na hyo ni sabab za kihistoria. hawa jamaa Muingereza aliwekeza kwao zaid kuliko hapa kwetu. wana muingiliano mkubwa na dunia kupita cc. na wameish kwenye capitalisim cku zote. ngoja nikupe mfano mdogo.
hebu nenda kwenye takwim za soko la AGOA uangalie wakenya w.meuza bidhaa za shs ngap America per year na mtz kwa america ndio utajua. hyo roho mbaya ya polis ndio ubepar huo hata cc tunaelekea huko. kwani zaman tulikuwa na fensi za kuta? na kwataarifa yako kampun zote za kiume wakitaka kuwekeza east africa wanaanzia Nairobi huku kunakuwa branch.
Ni vile upendavyo mkuu.Hivi wewe ni mwanaume unayetumia ID ya kike au wewe ni mwanamke mkuu?!
bro cjasema wote ila majority. wala uckasirike mi kusema wametupita mzee ndio ukweli. cku moja nikijaliwa nitaeleze jins nilivyanikiwa kununua hisa kwenye benk moja nairob na dar na kilichotokea. nimesema yote haya siO kudunisha watu mzee. ni ile kuwastua watu ili wachangamkie fursa usisahau mama kasharuhusu vibali vitolewe kwa wagen kufanya kaz tutakuja kujikuta ni wafanyakaz wao.Hivi kwa nini unataka kujumuisha watanzania wote, unafikiri kila mtu ana fikra duni kama wewe?
Hakuna ukweli wowote, ni fikra duni ulizonazo tu. Badilika.bro cjasema wote ila majority. wala uckasirike mi kusema wametupita mzee ndio ukweli...
ULIKUWA NA BAHATI MBAYA TU KUKUTANA NA MWENYE ROHO MBAYA, NIMEISHI NAO SANA NI WATU WAZURI, WANAJUA KULIPA FADHILA UKIWATENDEA WEMA, NYANGAU UKIWASAIDIA NDIYO WANAPATA NAFASI YA KUKUANGAMIZAkaka wa zambia wana roho mbaya sana
We mzee unaongea nini? kwa hio unaona chanzo cha wao kuwa hapo kisa ni muingereza kuwekeza kwao kuliko sisi, huyo muingereza yupo wapi sasa hivi? muingereza anamzidi nini mchina? kama unawaona british ni mastermind mbona wamepigwa big MF na nchi walizozitawala ikiwemo USA?cjasema wanachakula kama cc bab. nachokuambia mkenya katuacha mbali. nenda popote utakuta mkenya kaajiriwa na hyo ni sabab za kihistoria. hawa jamaa Muingereza aliwekeza kwao zaid kuliko hapa kwetu. wana muingiliano mkubwa na dunia kupita cc. na wameish kwenye capitalisim cku zote. ngoja nikupe mfano mdogo.
hebu nenda kwenye takwim za soko la AGOA uangalie wakenya w.meuza bidhaa za shs ngap America per year na mtz kwa america ndio utajua. hyo roho mbaya ya polis ndio ubepar huo hata cc tunaelekea huko. kwani zaman tulikuwa na fensi za kuta? na kwataarifa yako kampun zote za kiume wakitaka kuwekeza east africa wanaanzia Nairobi huku kunakuwa branch.
Kwa hiyi wao wakenya wana nini na nini mkuu? Usiniambie wakenya wote ni kina Bakhresaukienda marekan leo hii kuna watu hawana chakula na hata pakulala. lakin haimaanish tuko sawa chief. mimi ni mtz na nimebahatika kusafir nchi nyingi mno. cc malengo yetu ni madogo mno. ya mtz wa kawaida akipata
nyumba gar na mke na mshahara kinachofuata ni matumiz. hatujui kujenga uchumi endelevu. hatuko serious na maisha kabisa. na ukiwa serious unaonekana unaringa roho mbaya n so on. hlo la watoto kushinda njaa lipo nch nying hata bonden lipo sana. unajua ukijua ukweli unajifunza na ukipinga ukweli haimaanisha utaubadilisha zaid sana unachelewa. nimetolea mfano wa soko la hisa Nairobi na Dar ni kifo n. usingz
Aina neno mkuu.Ni vile upendavyo mkuu.