Sina furaha kwenye ndoa yangu, nahisi nilikurupuka

Uvivu,binafs nauchukulia kama ugonjwa,hivyo unaweza kupona,hilo ndilo jaribu lako,usimrudishe kwao,kaa nae chini,muelekeze,mke ndio mtu pekee unaandikiwa kuwa nae mpaka kufa,let you move together...sikupi pole kwa sabab yapo makubwa zaidi ya hayo kwenye ndoa lakin hawachukui maamzi hayo,it's too early !
 
Ulimkuta bikra?
 
Huyo ni mmoja wa matajiri wa jf, hela zimejaa kwenye keyboard.
 
Uvivu wake na hisia zako za mapenzi vinahusiana nini?
 
Pole mkuu, ninaamini mpaka umeamua kumuoa huyo umempenda, unasema umekurupuka lakini sio kweli. Hayo makasiriko na kupungua upendo ni kwa sababu vitu vimekua tofauti na ulivyopanga au kutarajia.

Kaa nae, ongea nae kwa upendo mweleweshe ni nini unatarajia kutoka kwake. Huyo ni mke wako, usimuonee haya wala usizizuie hisia zako. Usifikirie kumcheat wala kumuacha. Tatua matatizo yako usiyakimbie maana hata ukienda kwa mwingine utakutana na matatizo mapya ambayo hata hukuyatarajia. Una advantage matatizo uliyonayo sasa tayari umeyafahamu. Kutambua tatizo ni hatua ya kwanza ya kulitatua.

Mwanaume ni kichwa cha nyumba, kwa hiyo kama unataka mke wako awe msaada na kuleta mchango kwako. Mpangie, na muoneshe ni kwa namna gani. Usiache ajiongeze mwenyewe. Ila pia tambua mwanaume ndio provider kwenye familia, mwanamke ni assistant tu kwenye providing.
 
Wakati mwingine kwenye ndoa wahusika wanatafuta zaidi makosa ya mtu kuliko kuangalia mazuri yake.

Yaani kama upo kutafuta makosa ya mtu yapo ya kutosha sana tena unaweza kimbia umwachie nyumba.

Kwani hata kile kilichokufanya umuoe hakipo tena!!

Tuangalie mazuri ya mtu binadam tuna makosa kibao linganisha mazuri yake na makosa yake uone ni kipi unaenda nacho kama makosa/madhaifu ndo mengi angalia ustarabu mwingine lakini kama mazuri ndo mengi komaa hakuna mkamilifu
 
Uliangalia matako na sasa umekosa kazi yake ndani ya ndoa au siyo!

Hata wenye kazi zao hawana mchango wowote wa kiuchumi ndani ya familia.

Ni wanaume wachache wanaobahatika kuona pesa za wake zao ndoani.
 
Miezi minne mbona mapema sana? 🥳🥳🥳🥳

Anyway, peleka shauri lako kwa mshenga na wazee utapata msaada mzuri. By the way, hakikisha na yeye hajutii kuolewa na wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…