Sina furaha kwenye ndoa yangu, nahisi nilikurupuka

Sina furaha kwenye ndoa yangu, nahisi nilikurupuka

Hukugundua wakati wa uchumba? Kosea kujenga nyumba kwani utabomoa na kujenga upya, sio kuoa. Vijana, nawaasa, kuoa ni mtihani mgumu sana.
Mkuu kwani kuachana shingapi?

Haya mambo ya kuachana kuwa magumu mnayakuza nyinyi tu.

Kung'ang'aniana kisa ndoa sijui watoto mpaka kuja kuuana na vitendo vingine visivyo faa

Watu hatuwezi kujuana kikamilifu watu tunaigiza sana siku ukijulikana unawekwa pembeni si uligiza
 
Kaa nae chini mchane mke wangu haya maisha hayaendi hivo. Muelekeze vizuri Mshauri venye unawish / unataka afanye

Na muplan kwa pamoja na ulifanyie ufuatiliaji.

cc Smart911
Mkuu wanawake hawabadiliki Kwa vikao. Nimejaribu mara kadhaa Ila haijasaidia. Niliamua kumpuuza na kuwa mnafiki tu ndo mambo yakaenda. Napiga nje ya ndoa mademu wa kuokota tu
 
Wakuu nakiri kabisa from heart ya kwamba hii ndoa yangu nilikurupuka sana yapata takribani mienzi minne ya ndoa yangu sina hisia ya mapenzi na nahisi kujuta sana kwenye maisha yangu na sina furaha kabisa.

Yaani sina furaha kabisa wakuu yaani najuta kuoa mwanamke wa chop money yaani yeye ni kula tu na kulala na ni mvivu sana na mbaya zaidi kinachoniuma nimetoa mahari nyingi sana lakini binti ni mvivu sna na nahisi majukumu yamenielemea kabisa.

Tafadhali naombeni ushauri wenu wakuu na nataka nimrudishe mazima kwao ili nikeep furaha yangu.

Msinipopoe wakuu


Una makosa sana kutokufanya uhakiki wa kutosha, ila Ndugu chunga haya:

1. Mrudusha haraka - si dhambi
2. Kwepa sana mimba.
3. Ukishindwa hayo mawili, teseka tu.

Ila wasiwasi wangu, kama ambavyo ukishindwa fanya uhakiki, na wasiwasi akili hiyo hiyo inakutoa haraka kwenye ndoa!!??
 
Listen careful my son:

Since our cavemen ancestry.
Men provided resources and protection
While
Women provided sex and children if they needed. This is the trading or transaction life between man and woman and nothing.
Men went to gather and hunt to bring home meat then women cooked.
This is nature but due to weak modern weak men who can't even do 10 push ups every morning they need assistance from their women/wives.
No free respect even greetings everything is just transactions or trading.
If woman can help you to stand as man then your value of manhood and manly even you can't execute and show your masculinity before her.
Many modern menof 21st and 22nd century think that to take his woman to Kilimanjaro peak it's his manhood,manly or masculinity.
But you'll be respected just by providing resources and protection.
Can you sample around 100k family where mother and father have almost the same income and compare to where man takes all responsibilities of his family.



Have you seen even 🐓 find worms and insects to give hen just its kick back it's just sexxx and nothing else.
Our grandparents were capable of to take care of 20 women but we fail even one because we're weak even though am sure many will argue since it's against their beliefs or wishes.

I don't know if strong men like Mike Tyson,Kobe Bryant, Mohamed Ali,Elon musk,Ronaldo,Messi,mo dewji,Warren complain whether their wives are either weak or strong.
Women had and have and will be created just for fuckeddd and give birth and nothing else may be to nurture and nurse children.


I don't know if king Solomon, Alexander the great,Ottoman emperor,Marcus Aurelius,Seneca,Plato, Mohamed s.a.w complained about their wives.

Am not comfortable going with my wife to the Forest and bush to hunt.
I feel guilty and painful once I find woman having cassava or banana basin on her head ,one baby in her back and holding one baby hand walking together. I feel totally disgusted, uncomfortable,stressed, psychological pain. I ask her who gave you these children? Some of the men need to cut their Dickson so that don't pollute and bring trouble to others.


Just use this angry to fight understand that you're one army. There's a reason why God gave you that wife.
If you can turn problem into opportunity then you're a genius. Try to convert negative to positive please.
If you had have a great hustler and hard-working woman may be you could relax since your wife is taking care of your family security. Use her weakness then you'll pass all stumbling blocks before you. Am sure at the end you'll reach at the highest peak than to ever imagined.
Am totally comfortable if I know IAM and am myself responsible for any task before me. If I find we're two then I won't release my full energy potential since my childhood.
 
Mke sio sura wala chura, kama wengi mnavyodhani.
Mke ni mshirika wa maisha yako, uwe kipofu, uwe huna miguu n.k atakuwa na wewe bega kwa bega.
Kuwa makini unavyotafuta mwenza.
Many men don't understand the meaning of wife. They always think beauty and sex is overwhelming their logic and rational mind then they fall under the emotions decisions
 
Back
Top Bottom