Sina furaha kwenye ndoa yangu, nahisi nilikurupuka

Mwanaume utakula kwa jasho.
Unataka mkeo akusaidie majukumu yako?
 
furaha hutengenezwa haiji tu
 
Ongea nae, express yale una wish ndoa yenu iwe, then na yeye a express halafu mtafute wastani kila mtu apambanie hapo mmewish kwa pamoja. Kuna wakati leta demokrasia aongee na wewe uongeee
 
Kuna ujinga tunao wanaume. Wakati wa uchumba unaona kabisa mtu anazingua ila unajipa moyo tu atabadilika. Big No! Kwenye vigezo vikuu mtu akizingua piga chini. Uzinzi, Uzembe, Kukosa utii, hofu ya Mungu na kutokuwa na akili
 
Ulipomzoeza kwenda kula chips kuku, mishikaki na bia haukutuomba ushauri, nikusaidie kidogo fungua geti tupa nje au likipita gari la takataka wape na hilo dubwasha.
 
Ukiangalia shepu, na ukasikiliza genye. Ndo matokeo yake sasa
 
Miezi minne unalalama?. Si bajo mpo haney Moon. Subiri mzae kwanza
 
Hukutusikiliza vijana wa kataa, ndoa pole mkuu.

Ingawa pia nimechoka kulala peke yangu, Kuna mtoto wakizigua naona kabisa anaweza nitoa kwenye kundi la kataa ndoa. Lakini bado nahofu nae ngoja niendelee kuvuta subira
Subira yavuta heri Mkuu. Kuwa mpole kwanza, usije lia lia kama mleta uzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…