Sina huruma na askari toka washiriki kuua wananchi Oktoba 29

Kwahiyo uliwaua wewe?
Tatizo linakuja pale ambapo Ibrahimu alipomuuliza Mungu, Wakipatikana wema hata 10 kati ya 100 je utaangamiza? Sikatai ndani ya jeshi la polisi kuna watu ambao siyo weledi hata kidogo lakini pia ndani ya jeshi hilo hilo kuna hadi viongozi wa jumuiya ni waadilifu. Huwezi ukageneralize tu eti unawachukia askari wote. Shida ipo kwa kina Murilo
 
Ndani ya jeshi la polisi hao wenye weledi ni wachache sana aisee
 
Taarifa za awali nimesoma na kusikiliza kwenye vyombo vya habari, daktari alipigwa na wananchi
 
Hapa Tanzia zitakuwa nyingi, hapa vile soon utaona wakubwa wapolisi wanajipendekeza kwa madaktari maana vita ya polisi na watoa huduma wa afya haijawahi kuwa salama
Kwani Askari akienda kutibiwa anakuwa amevaa combat/uniform au anakuwa kiraia?

Utamtambuaje mtu anaekuja kutibiwa kama huyu ni askari au ni raia?

Kwenye hii vita maPolisi wakiamua kunyoosha hakuna dokta atatoboa maana hata Rais wa nchi hii kwa sasa anawasikiliza maPolisi vibaya mno kwa sasa na siunaona Dokta kala kipondo mpaka kalazwa ICU na hakuna kitu kimefanyika

Na si mnasema maPolisi ni watekaji huoni kwamba wao wapo hatarini kwa sasa?
 
Kwani kumtambua askari hadi avae combat????Una umri gani wewe??Askari anatambulika kirahisi sana lab
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…