Sina huruma na askari toka washiriki kuua wananchi Oktoba 29

Kuna mmoja mtaani eti ananisimqmisha anipe elimu wasingekuwa wale wajeda ningepiga mtu unipe elimu mtu mwenye umeishia form four tena ile four ya mwisho nitakuumiza 😂
 
Yani kama haendi na pesa ndo nini, unataka kusema nini jombaa, kwamba ile Bima Ina describe kila kitu au?

Na kama unataka kujibu jibu lako kupitia Bima jombaa hujui unachokisema
Jifunze zaidi na wala sijataja BIMA ila tambua hilo wanajulikana endelea zaidi kuongeza ufahamu kwa faida yako
 
Yani kama haendi na pesa ndo nini, unataka kusema nini jombaa, kwamba ile Bima Ina describe kila kitu au?

Na kama unataka kujibu jibu lako kupitia Bima jombaa hujui unachokisema
Swala siyo kwenda na pesa wala nini ishu ni bifu ambalo ni hatari sana kuliko hata hiyo pesa unayoitaja
 
Jifunze zaidi na wala sijataja BIMA ila tambua hilo wanajulikana endelea zaidi kuongeza ufahamu kwa faida yako
Wewe ndo unatakiwa uongeze ufahamu, hakuna anayejulikana kazi yake kupitia kutibiwa ni wewe ndo nakusikia
 
Juzi wakampa daktari kipigo cha mbwa mwitu. Hawajui madaktari wanebeba uhai wao?
 
Sasa bifu kiaje wakati mwanzo nimemuliza ya kwamba kwani hao Askari wanapoenda kutibiwa wanavaa kombati? Jibu ni hapana, sasa kama jibu ni hapo hapo utamjuaje kama ni askari au laaa.
Bahati mbaya sana wewe ndiyo haujui ila wahusika wanajua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…