Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Mpende mchukie
The guy is truly gifted.
Huyu jamaa sio wa sayari hii.
Sidhani kama Tanzania imewahi kupata mwanasiasa smart na aliyejaaliwa akili kubwa kama huyu.
Akiongea. Hata uwe kilaza wa namna gani lazima utamsikiliza na kumuelewa.
Akiwasilisha hoja hata uwe unamchukia na haumpendi kiasi gani ni lazima utajikuta unakubali uwezo wake.
Yaaani leo Mahakamani wakati anaongea namna watu walivyokuwa wanamsikiliza kwa passion hadi maaskari na mawakili wa Serikali wakawa wanatingisha vichwa. Hadi hakimu anaonekana kama amesisimshwa na namna huyu jamaa anavyojua kupangilia na kuwasilisha hoja.
Nikiwaza tuna Tulia Spika wa Bunge, Hamza Johari Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Samia Rais alafu Tundu Lissu yupo gerezani nasema tu Mungu turehemu Tanzania.