Sina kumbukumbu kama amewahi kutokea Mwanasiasa mwenye akili nzuri na smart nchi hii kama Tundu Lissu

Sina kumbukumbu kama amewahi kutokea Mwanasiasa mwenye akili nzuri na smart nchi hii kama Tundu Lissu

Uchawa uchawa tu ... Lissu Hana akili nyny mnasema anaakili. Wenye akili huwa wanakuja na slogan zisizo tekelezeka? Nadhan viongozi wa ACT ndo wanaakili kuliko wa chadema
 
Unasema tundu lisu anaakili kwasabu hujakaa na watu wenye akili
Unasema Lissu anaakli kwasabu ww pia huna akili
Unasema Lissu anaakili kwasabu we ni chawa wake
Mtu mwenye akili hawezi kusapot slogan ya reforms na kuamini kuwa itatekelezeka huu ni upumbavu wa Hali ya juu mna, kutumia hela za chama kutawanya slogan ambayo wew mwenyewe unajua haitekelezeki ni stupidity
 
Watu wa aina ya Kina Tundu lissu walikuepo Zamani. Ukisikia Akina Nyerere, Sokoine Ndo walikua Vichwa namna hyo.

Wakikaa sehemu na kuanza kuongea hata kama huwapemdi utajikuta unatega sikio kuwqsikiliza.

Wa mwisho kabisa Alikua Mkapa, Baada ya Hapo Hatuna Leadership material
 
Unasema tundu lisu anaakili kwasabu hujakaa na watu wenye akili
Unasema Lissu anaakli kwasabu ww pia huna akili
Unasema Lissu anaakili kwasabu we ni chawa wake
Mtu mwenye akili hawezi kusapot slogan ya reforms na kuamini kuwa itatekelezeka huu ni upumbavu wa Hali ya juu mna, kutumia hela za chama kutawanya slogan ambayo wew mwenyewe unajua haitekelezeki ni stupidity

Haitekelezeki au CCM hawataki kutekeleza?
 
Watanzania ni wanafiki mno ,hapa comments nyingi zinamsifia Lissu,lakini ukisema waandamane barabarani kushinikiza Lissu atoke wanaufyata,kazi Yao ni kuweka mabundle tu kutazama kilichojiri kwa njia ya simu/PC lakini ni ngumu kuingia barabarani

Tuingie barabarani Mtuue
 
Mpende mchukie
The guy is truly gifted.
Huyu jamaa sio wa sayari hii.

Sidhani kama Tanzania imewahi kupata mwanasiasa smart na aliyejaaliwa akili kubwa kama huyu.

Akiongea. Hata uwe kilaza wa namna gani lazima utamsikiliza na kumuelewa.

Akiwasilisha hoja hata uwe unamchukia na haumpendi kiasi gani ni lazima utajikuta unakubali uwezo wake.

Yaaani leo Mahakamani wakati anaongea namna watu walivyokuwa wanamsikiliza kwa passion hadi maaskari na mawakili wa Serikali wakawa wanatingisha vichwa. Hadi hakimu anaonekana kama amesisimshwa na namna huyu jamaa anavyojua kupangilia na kuwasilisha hoja.

Nikiwaza tuna Tulia Spika wa Bunge, Hamza Johari Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Samia Rais alafu Tundu Lissu yupo gerezani nasema tu Mungu turehemu Tanzania.
Kidogo labda Mchonga
 
Uchawa uchawa tu ... Lissu Hana akili nyny mnasema anaakili. Wenye akili huwa wanakuja na slogan zisizo tekelezeka? Nadhan viongozi wa ACT ndo wanaakili kuliko wa chadema
Wewe na ukoo wako wote mkikusanyika pamoja na mababu wenu minimum hamuwezi kumfikia Lissu kiakili
 
Lissu anazidi kuthibitisha uzi huu kuwa sahihi leo kwa namna anavyoivua nguo Jamhuri huko Mahakama Kuu.
 
Back
Top Bottom